KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Ni heri angekaa kimya tu watu tumesha mdondokea ye anakuja na stori zake za akina H!! why,how and when...?
naumia roho huku machozi yananibubujika,nimeshindwa kula na stori yake sijasoma yote nilikuwa natetemeka almanusra nizimie!.
Nashindwa hata kuandika vyema ila asikilize huu wimbo wa aaliyyah unaitwa "are you that somebody" mwambieni haswa mimi ndimi.