Mwambieni huyo crush wangu asiendelee na hiyo stori yake inaniumiza!

Mwambieni huyo crush wangu asiendelee na hiyo stori yake inaniumiza!

Kwa mtindo huu, hakuna kijana mwenye ataweza kuiondoka sisiem madarakani...☹️
Unamaanisha kwamba vijana wote wanatakiwa kufocus tu kwenye kuitoa CCM madarakani?

Na je, una uhakika kwamba kuitoa CCM madarakani ndiyo suluhisho la changamoto zinazowakabili vijana?
 
Back
Top Bottom