Crush wako ndio nini yani?Pole Sana.
Subiri aje mtoa Mada atueleweshe..Crush wako ndio nini yani?
AiseeNi heri angekaa kimya tu watu tumesha mdondokea ye anakuja na stori zake za akina H!! why,how and when...?
naumia roho huku machozi yananibubujika,nimeshindwa kula na stori yake sijasoma yote nilikuwa natetemeka almanusra nizimie!.
Nashindwa hata kuandika vyema ila asikilize huu wimbo wa aaliyyah unaitwa "are you that somebody" mwambieni haswa mimi ndimi.
View attachment 3082683