Mwambieni huyo crush wangu asiendelee na hiyo stori yake inaniumiza!

Kwa mtindo huu, hakuna kijana mwenye ataweza kuiondoka sisiem madarakani...โ˜น๏ธ
Unamaanisha kwamba vijana wote wanatakiwa kufocus tu kwenye kuitoa CCM madarakani?

Na je, una uhakika kwamba kuitoa CCM madarakani ndiyo suluhisho la changamoto zinazowakabili vijana?
 
kwahiyo kupenda ni dhambi..? wanajamiiforum wa jukwaa la mapenzi sijui vipi!! bora nikashinde jukwaa la dini nikaimbe kwaya huko...๐Ÿคฃ
Watakupigia mawe ooho. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ