Mwambieni “Kwevo” hivo vinjunga awaachie akina Konde Boy

Mwambieni “Kwevo” hivo vinjunga awaachie akina Konde Boy

Na mimi pia nataka kufahamu.
kuna huyu msanii wa kimarekani anaitwa 'quavo' sasa mondi anapenda kuiga muonekano wake basi watu wanamuita kwevo kumtania😂
binti kiziwi The Boss
{68A99F76-004E-476E-9789-03670931B4F8}.png.jpg
 
Kapendeza sana.
Ukweli maskini huwa tuna njia ya kutafuta relief kwa watu waliotuzidi tukifikiri kufanya hivyo ni kutafuta uwiano na wao.
Ni msanii mkubwa tokea familia maskini, mitaa ya kimaskini asiyekuwa na elimu kubwa. atabaki kuwa inspirational kubwa kwa vizazi na vizazi.
Ukweli mchungu huu 👏👏
 
Back
Top Bottom