NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Najua utekelezaji wa mradi huu umeshuka Sana kwa Sasa! Hadi mwaka huu tungekuwa kwenye hatua za Mwisho za utekelezaji wa mradi huu! Lakini hakuna cha maana Hadi Sasa! Mkumbuke ni fedha za kodi za watanzania ndio zilizozikwa kwenye huo mradi!
Je mmekubali kweli fedha zetu zizikwe na mradi iende na maji?mmeziba masikio kabisa ndugu zangu kuwa business as usual??mnamuogopa mama na mtandao wake? au mnafurahia mradi huo kufa!?
Fanyeni hima nchi ipo gizani Hadi sasa kuendelea kuwa KIMYA ni kubariki giza totoro ndani ya NCHI! Haiwezekani NYIE mpo hapa na giza zito linaendelea nchini! Nyie ndio tumaini pekee liliobaki na Sio chama tena na serikali yake!
Kumbukeni umeme Sio Sio kibatari Hadi uzime mara kwa mara hivi!!
Mkajivike nguvu zenu muondoe hili giza totoro!
Ni hayo tu!!