Mwambieni Spika waliorekodi tukio la Loliondo hawa hapa

Mwambieni Spika waliorekodi tukio la Loliondo hawa hapa

yoyote anaetetea Masai waendelee kuharibu Ngorongoro ni mjinga kuliko lubega ya Masai.
hawa masai wanatakiwa waondoke, ila kama serikali inawaondoa ili kuleta mwekezaji watakuwa wanakosea, waondolewe ila siyo kuleta wawekezaji ndani ya hifadhi, imagine wamasai wanakaa kwenye hifadhi lakini hifadhi zingine zote hakuna anayeruhusu hata kusogelea, wanaona masai special.
 
Wewe umehongwa na waarabu ili wachukue maeneo yetu

Chuki zako ndio zinakupelekea ubadili topic, mleta mada anazungumzia mmasai, wewe mmatumbi unaleta ya waarabu tena. Kama wanawekaza kuna shida gani!! Au wangelikua wale ndugu zako waabudu mtu ungehoji!!! Serikali imefanya la maana kuwahamisha na kuwajengea, eneo la pori/wanyama sio salama kwa binadamu, na hata wanyama wenyewe hawatakua salama kwa binadamu.
 
Nasimamia upande wa Wamasai, kamwe SERIKALI ya CCM haijawahi kuwa agenda njema kwa nchi hii..

Tulia Akson anataka watafutwe waliorekodi tukio la kinyama la Loliondo, sasa asipate shida. Hawa hapa Chini.

Mods msiunganishe Ili ujumbe ufike faster
CCM NI MAFII
 
Chuki zako ndio zinakupelekea ubadili topic, mleta mada anazungumzia mmasai, wewe mmatumbi unaleta ya waarabu tena. Kama wanawekaza kuna shida gani!! Au wangelikua wale ndugu zako waabudu mtu ungehoji!!! Serikali imefanya la maana kuwahamisha na kuwajengea, eneo la pori/wanyama sio salama kwa binadamu, na hata wanyama wenyewe hawatakua salama kwa binadamu.
Siku zote waliishije??? History speaks the facts.
 
Mwehu wewe hapo ni baada ya mkuu wa wilaya pamoja na kamati ya ulinzi na usalama kwenda.

Weka hapa ile kripu tuone kama hao wapo.
Kwa hiyo kabla ya hapo walikuwa busy wanawarushia risasi wananchi sio?!
 
hawa masai wanatakiwa waondoke ,ila kama serikali inawaondoa ili kuleta mwekezaji watakuwa wanakosea ,waondolewe ila siyo kuleta wawekezaji ndani ya hifadhi, imagine wamasai wanakaa kwenye hifadhi lakini hifadhi zingine zote hakuna anayeruhusu hata kusogelea,wanaona masai special.
Masai wakitaka kubaki pale waendelee kuwa kivutio kwa ule utamaduni wa kuvaa lubega nusu uchi. Saivi mtalii mbugani anapekukua kichaka kutafuta simba anakuta masai kavaa suti anajisaidia hifadhini
 
Masai mwenye akili ajiodheshe kuondoka ngorongoro, ahamishwe na serikali akapewe nyumba bora ya bure na pesa ya kifuta jasho. Anaebisha akibahatika sana ataondolewa kwa aibu akichechemea na kuuguza madonda
 
mwisho wa siku hata serikali itagoma kuwajengea
 
Masai mwenye akili ajiodheshe kuondoka ngorongoro, ahamishwe na serikali akapewe nyumba bora ya bure na pesa ya kifuta jasho. Anaebisha akibahatika sana ataondolewa kwa aibu akichechemea na kuuguza madonda
Hujui ukisemacho; Loliondo na Ngorongoro ni vitu viwili tofauti.
 
Back
Top Bottom