hawa masai wanatakiwa waondoke, ila kama serikali inawaondoa ili kuleta mwekezaji watakuwa wanakosea, waondolewe ila siyo kuleta wawekezaji ndani ya hifadhi, imagine wamasai wanakaa kwenye hifadhi lakini hifadhi zingine zote hakuna anayeruhusu hata kusogelea, wanaona masai special.yoyote anaetetea Masai waendelee kuharibu Ngorongoro ni mjinga kuliko lubega ya Masai.
Wewe umehongwa na waarabu ili wachukue maeneo yetu
Unapost ukiwa sebuleni kwa shemeji yako ukiwa umenyoosha miguu kwenye sofa ukisubili vitoto vibakishe uji ili unywe.yoyote anaetetea Masai waendelee kuharibu Ngorongoro ni mjinga kuliko lubega ya Masai.
Wewe, kripu ndo vitu gani?Mwehu wewe hapo ni baada ya mkuu wa wilaya pamoja na kamati ya ulinzi na usalama kwenda.
Weka hapa ile kripu tuone kama hao wapo.
CCM NI MAFIINasimamia upande wa Wamasai, kamwe SERIKALI ya CCM haijawahi kuwa agenda njema kwa nchi hii..
Tulia Akson anataka watafutwe waliorekodi tukio la kinyama la Loliondo, sasa asipate shida. Hawa hapa Chini.
Mods msiunganishe Ili ujumbe ufike faster
Yoyote anayetetea rostam kulawiti nchi yetu ni mweu kabisayeyote anayetetea mwarabu kuhongo Ikulu ni msaliti
Inaonekana ilishampata siku nyingi, suala ni utekelezaji wake tu ndio umekuwa mtihani.
Siku zote waliishije??? History speaks the facts.Chuki zako ndio zinakupelekea ubadili topic, mleta mada anazungumzia mmasai, wewe mmatumbi unaleta ya waarabu tena. Kama wanawekaza kuna shida gani!! Au wangelikua wale ndugu zako waabudu mtu ungehoji!!! Serikali imefanya la maana kuwahamisha na kuwajengea, eneo la pori/wanyama sio salama kwa binadamu, na hata wanyama wenyewe hawatakua salama kwa binadamu.
Siku zote waliishije??? History speaks the facts.
Kwa hiyo kabla ya hapo walikuwa busy wanawarushia risasi wananchi sio?!Mwehu wewe hapo ni baada ya mkuu wa wilaya pamoja na kamati ya ulinzi na usalama kwenda.
Weka hapa ile kripu tuone kama hao wapo.
Tunakushukuru sana kwa uzalendo wakoNasimamia upande wa Wamasai, kamwe SERIKALI ya CCM haijawahi kuwa agenda njema kwa nchi hii..
Tulia Akson anataka watafutwe waliorekodi tukio la kinyama la Loliondo, sasa asipate shida. Hawa hapa Chini.
Hahahaha nimecheka, logicalKwa hiyo kabla ya hapo walikuwa busy wanawarushia risasi wananchi sio?!
Masai wakitaka kubaki pale waendelee kuwa kivutio kwa ule utamaduni wa kuvaa lubega nusu uchi. Saivi mtalii mbugani anapekukua kichaka kutafuta simba anakuta masai kavaa suti anajisaidia hifadhinihawa masai wanatakiwa waondoke ,ila kama serikali inawaondoa ili kuleta mwekezaji watakuwa wanakosea ,waondolewe ila siyo kuleta wawekezaji ndani ya hifadhi, imagine wamasai wanakaa kwenye hifadhi lakini hifadhi zingine zote hakuna anayeruhusu hata kusogelea,wanaona masai special.
Tumboni labda !!Ukiwa daktari wa PhD halafu ukabahatika kuwa mwanasiasa Afrika yaani sijui ufahamu, akili na maarifa vinaendaga wapi.
mwisho wa siku hata serikali itagoma kuwajengeaMasai mwenye akili ajiodheshe kuondoka ngorongoro, ahamishwe na serikali akapewe nyumba bora ya bure na pesa ya kifuta jasho. Anaebisha akibahatika sana ataondolewa kwa aibu akichechemea na kuuguza madonda
Hujui ukisemacho; Loliondo na Ngorongoro ni vitu viwili tofauti.Masai mwenye akili ajiodheshe kuondoka ngorongoro, ahamishwe na serikali akapewe nyumba bora ya bure na pesa ya kifuta jasho. Anaebisha akibahatika sana ataondolewa kwa aibu akichechemea na kuuguza madonda
Hakuna ahadi kama hyo Loliondomwisho wa siku hata serikali itagoma kuwajengea
Mimi ni Mtanzania soma Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya mwaka 1977 Ibara ya 12 na 13.Wewe ni mmasai??