Unacheza mpira wa kuvutia halafu unaokota magoli kunyavu!Timu zenye mafanikio makubwa caf.
1. AL AHLY
2. TP MAZEMBE
3. ESPERENCE.
4. Zamalek
5.Wydad
ukizitazama timu hizi zote tano. Huwa hazichezi mpira wa kuvutia.
Ball possession kwao sio ishu kabisa. Wanachojali ni kufunga magoli tu na kutwaa makombe.
Ukitaka kufanikiwa caf achana na mpira wa kuvutia.
Unacheza mpira wa kuvutia halafu unaokota magoli kunyavu!
Azam fc kwa nini hawaletagi makocha wenye CV kubwa Afrika kama S na Y?Hakuna kocha pale, plan A ikifeli ndio basi
Kweli kabisa,Mpira wa kisasa ni point tatu muhimu.Mamelodi huyoo.. ndie anakotaga magoli kunyavu huku anaongoza ball possession 80 %
Possession inahesabika hata mkiwa na mpira mnapigiana pass golini kwenu. Hivyo, siyo kila possession Ina maanaMamelodi huyoo.. ndie anakotaga magoli kunyavu huku anaongoza ball possession 80 %