Mwambieni Yusuph Dabo kama anataka kutoboa makundi CAFCL acheze kikanuni asicheze kimazoea

Mwambieni Yusuph Dabo kama anataka kutoboa makundi CAFCL acheze kikanuni asicheze kimazoea

Timu zenye mafanikio makubwa caf.

1. AL AHLY

2. TP MAZEMBE

3. ESPERENCE.

4. Zamalek

5.Wydad

ukizitazama timu hizi zote tano. Huwa hazichezi mpira wa kuvutia.

Ball possession kwao sio ishu kabisa. Wanachojali ni kufunga magoli tu na kutwaa makombe.

Ukitaka kufanikiwa caf achana na mpira wa kuvutia.
 
Unacheza mpira wa kuvutia halafu unaokota magoli kunyavu!
 
Mamelodi huyoo.. ndie anakotaga magoli kunyavu huku anaongoza ball possession 80 %
Possession inahesabika hata mkiwa na mpira mnapigiana pass golini kwenu. Hivyo, siyo kila possession Ina maana
 
hata ange soma huu uzi angeelewa, ni mjinga sana. kacheza mpira kama bado ana kipre Jr mbele. mjinga sana
 
Back
Top Bottom