MWAMBUSI: Tunaweza kufungwa na Yanga,lakini si nane!

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
MWAMBUSI:
Nategemea kutumia mfumo wa kujilinda zaidi na kushambulia kwa kushitukiza(4-5-1)au(4-3-2-1)
Ndugu yangu kwa speed ya mawinga wa Yanga huwezi ukashambulia bila hesabu,vinginevyo unaweza aibika.Nadhani tunatakiwa kuacha siasa kwenye mpira,Yanga wapo on fire,nimepitia mtandao wa FC PLATINUM ya ZIMBAMBWE wamewaadhalisha ETOILE DU SAHEL kwamba Yanga ni timu bora sana maana imeweza kupata mabao 13 ktk mechi mbili pekee.So ndg yangu sitaki kua miongoni mwa timu zitakazo ipa yanga magori mengi ndio maana nimesema wanaweza kutufunga lakini siyo nane.
Vijana wangu wako vzr,isipokua Kaseke alikua anasumbukuwa na mafua lakini sasa nadhani anaweza kucheza mechi ya leo.
HIZI NI KAULI ZA MWAMBUSI ASUBUHI YA LEO!
 
Sasa unategemea Yanga anaweza kumfunga MCC?Droo yenyewe aitafute kwa tochi!!
Kwanza Mwambusi hawezi kusema hivyo acha uongo.
Kama una njaa ni PM nikupe buku ili ukale ukalale maana Manji hawezi kuja hapa yupo bize na biashara zake!!
 
Haki ya Mungu kasema!!!
 
Yanga kweli wako on fire ndio maana waliwafunga Simba goli 1-0
 
Simba historia ingekua inacheza leo mngeongoza ligi!!!

Hakika YANGA anashinda lkn sijui kwa idadi gani ya magoli...
Daima mbele nyuma mwiko
 
hata akisema hayo kwani nani asiyejua kuwa juma mwambusi ni mshabiki na mwanachama tena mwandamizi wa yanga? mimi simshangai!
 
hata akisema hayo kwani nani asiyejua kuwa juma mwambusi ni mshabiki na mwanachama tena mwandamizi wa yanga? mimi simshangai!

naunga mkono hoja Hata julio ni mshabiki nå mwanachama tena mwandamizi wa YANGA sikushangaa kupigwa 8-0 nå coastal yake
 
Sasa unategemea Yanga anaweza kumfunga MCC?Droo yenyewe aitafute kwa tochi!!
Kwanza Mwambusi hawezi kusema hivyo acha uongo.
Kama una njaa ni PM nikupe buku ili ukale ukalale maana Manji hawezi kuja hapa yupo bize na biashara zake!!

utakufa kwa bresha buree nå hiyo roho yako mbaya mwaka huu mtaongea yotee mnayoyajua lakin habari Ndio hiyo YANGA is on fire hutaki kafie mbali.....DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
 
Sasa unategemea Yanga anaweza kumfunga MCC?Droo yenyewe aitafute kwa tochi!!
Kwanza Mwambusi hawezi kusema hivyo acha uongo.
Kama una njaa ni PM nikupe buku ili ukale ukalale maana Manji hawezi kuja hapa yupo bize na biashara zake!!

Mtakufa na roho zenu mbaya! Kocha katoa ya moyoni kwamba issue ni kupunguza magoli lakini kufungwa kuko pale pale, wewe unazungumzia droo, matokeo unayo, sijui una lipi tena. shame on you DAKA MTUMBA!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…