Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,986
MWAMBUSI:
Nategemea kutumia mfumo wa kujilinda zaidi na kushambulia kwa kushitukiza(4-5-1)au(4-3-2-1)
Ndugu yangu kwa speed ya mawinga wa Yanga huwezi ukashambulia bila hesabu,vinginevyo unaweza aibika.Nadhani tunatakiwa kuacha siasa kwenye mpira,Yanga wapo on fire,nimepitia mtandao wa FC PLATINUM ya ZIMBAMBWE wamewaadhalisha ETOILE DU SAHEL kwamba Yanga ni timu bora sana maana imeweza kupata mabao 13 ktk mechi mbili pekee.So ndg yangu sitaki kua miongoni mwa timu zitakazo ipa yanga magori mengi ndio maana nimesema wanaweza kutufunga lakini siyo nane.
Vijana wangu wako vzr,isipokua Kaseke alikua anasumbukuwa na mafua lakini sasa nadhani anaweza kucheza mechi ya leo.
HIZI NI KAULI ZA MWAMBUSI ASUBUHI YA LEO!