pachachiza
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 1,863
- 2,757
Mbona Obama juzi juzi kaenda kula kitaa au mmesahau ndugu zng
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usiogopeshwe na kelele za kandambil,, yule muhind hafanyi biashara kichaa, wengi wanalipwa deiwaka ila wanaogopa kulalamika watatimuliwaNimekuona si mara moja ukipata lunch kwenye kihoteli cha wasomali mtaa wa kongo , kariakoo .
Hiki kihoteli kisichokuwa hata na feni achilia mbali a/c si sawa kwa hadhi yako , hakuna haja ya wewe kocha msaidizi wa Yanga afrika kwenda kubanana na wamachinga kwenye foleni ya wali nyama wa 3500 /, pondamali atakupoteza , mbona yeye hali kwa wasomali ?
Ingekuwa simba tusingeshangaa lakini yanga mbona shida hizo hakuna ? Jiangalie mkuu na ikiwezekana jirekebishe .
.....Itaendelea ikibidi .
Kwa tunaojua shughul ya uwanjani msos wa 3500 haukidhi shughul ya uwanjaniTatizo liko wapi? Tena hata hiyo 3500 ni nyingi, mi ngekuwa yeye ningekuwa nakula cha 1500 kabisa.
Maisha yenyewe ya Bongo hayatabiriki. Kesho akipigwa chini si mtamcheka hana kitu, pesa yote kamalizia kwa wasomali.
Kwani mwambusi ni mchezaji au kocha?Kwa tunaojua shughul ya uwanjani msos wa 3500 haukidhi shughul ya uwanjani
Mimi ninaecheza mchangan for fun
Huwa sili hivo
Huyu mwambusi kule mbeya ni sawa na mfalme , hawezi kuthubutu kula kwenye magenge ya Mwanjelwa , inakuwaje huku yanga ?Kwani mwambusi ni mchezaji au kocha?
Chakula kina matter kwa kocha?
Pamoja na matatizo ya simba lakini Mayanja huwezi kumuona maeneo hatarishi .N nyie makocha wenu wanaokula mlimani city mnafanya nini kiwanjani.......................
Sioni tatizo. Ni Personal preferenceHuyu mwambusi kule mbeya ni sawa na mfalme , hawezi kuthubutu kula kwenye magenge ya Mwanjelwa , inakuwaje huku yanga ?
Hahahaah umetisha.!Nilikuwa duka fulani la mpemba maeneo ya Bunju, Dar es Salaam.
Ghafla nikaona basi la Simba SC likisimama na wakashuka wachezaji wakaja dukani kununua Maji ya Kandoro.
Mmoja aliamua kununua maji 6, kaweka kwenye mfuko wa rambo.
Chapati za kaduguda mlishamlipa hela yake? dogo umeingia Dar mwaka gani mbona mjuaji sana?Mimi ni Mwanasimba mwenye matarajio ya kuongoza timu , wala sina kolabo yoyote na Yanga , lakini nimesononeka sana kwa huyu shujaa wa timu yenu kumuona mara nyingi akila uswahilini , kama shida ni hela basi alipwe malimbikizo yake , hawa makocha wa yanga na simba wanavumilia mengi sana ambayo wewe huyajui .
Nilikuwa duka fulani la mpemba maeneo ya Bunju, Dar es Salaam.
Ghafla nikaona basi la Simba SC likisimama na wakashuka wachezaji wakaja dukani kununua Maji ya Kandoro.
Mmoja aliamua kununua maji 6, kaweka kwenye mfuko wa rambo.
Umeuliza swali zuri sana kuhusu Kaduguda , lakini umemaliza kwa majungu hivyo sitakujibu , kumuambia mtu anayejua eti anajifanya mjuaji ni kuhangaisha akili yako bure , anayejua anajua tu mkuu .Chapati za kaduguda mlishamlipa hela yake? dogo umeingia Dar mwaka gani mbona mjuaji sana?
Wanataka akale junk foods kfc!Mbona hiyo sehemu ma footballers kibao wanaenda kupata mlo,ulitaka aende mlimani city?
Wala siyo huko , lakini ni lazima kocha wa Yanga ajitofautishe na wamachinga bhana .Wanataka akale junk foods kfc!