NaamUmelitapika kama lilivyo ..
Mapenzi ya sasa ndalama ni sehemu kubwa ya equation of loveHapa nazungumzia mapenzi
Ndo huko ameachwa kwasababu hiyo hiyo ya usaliti.
Habari zenu wakuu.
Nauliza hivi Kwa Sisi WANAUME
Je, mwanamke msaliti anasemehewa?
Sababu zipi yeye anatakiwa akitulize sio kukitembezatembeza mwisho kinaanza kutoa harufu za ajabu ajabu maana kila mdau atamwagia ndani sasa zikikutana huko ndani kunakua na harufu gani?Sio justified ya kwenda kucheat
Sababu iliyokufanya ukacheat na yeye ana sababu zake
Sababu zipi yeye anatakiwa akitulize sio kukitembezatembeza mwisho kinaanza kutoa harufu za ajabu ajabu maana kila mdau atamwagia ndani sasa zikikutana huko ndani kunakua na harufu gani?
Ya Baba yako jumlisha na ya Mama yako ongeza na ya kwakoUna miaka mingapi ya kuzaliwa?
Ya Baba yako jumlisha na ya Mama yako ongeza na ya kwako
Acha ujuaji mwingi utajiponzaAh basi ndio maana Una hoja na lugha za Facebook, hapa ni Jamii forums bosi great thinkers
Kama wewe ni mwanaume umekamilika basi maumivu ya kutombewar unayajuaVijana wanadhani kutombewer ndio kunavunja Sana ndoa,sio kweli...Tabia hasa ,Mdomo,Kiburi, jeuri, kipato,ndugu n.k ndio 80 percent
Samehe mkuuHasamehewi hata kwa BAHATI mbaya huyo ni msaliti tu na ataendelea kukusaliti. Piga chini fanya usajili makini.
Umeandika uhalisiaInafuatana na nguvu ya mwanamke...kama unamtegemea kiuchumi basi waweza mjua hata bwana wake wa nje na ukasamehe....Vivyo hivyohivyo kwa mwanamke...humsamehe mume kwa sababu hana sauti kiuchumi juu yake kilakitu anamtegemea mume....ila mwanamke anajiweza afu umcheat hakika hiyo ndiyo talaka yako.Watu wanaachana kwa Kofi moja tu sembuse usaliti....uchumi mkuu
Halafu unatafuta pisi nyingine ambae ex wake alimwacha kwasababu ya usaliti
Ndiyo ukweli MkuuUmeandika uhalisia
Hiyo haipo hiyo.Fukuzilia mbali.Ndio na hapana.
It is controversial/contentional, ni mjadala usio na mwisho.