Mwamke msaliti

Mwamke msaliti

Kama unataka magonjwa ya presha na kisukari endelea kuishi nae kwa maana kila sim ikiita utajua hawara ake akipata safari mawazo lazima yaje ameenda kuto***a akichelew kurudi mawazo ha ha haaa ila kama una miaka 50+ leeni tu wajukuu
 
Dhambi ya kusaliti ni sawa na ile ya kukufuru, hazina msamaha🤪
 
Sio justified ya kwenda kucheat

Sababu iliyokufanya ukacheat na yeye ana sababu zake
Sababu zipi yeye anatakiwa akitulize sio kukitembezatembeza mwisho kinaanza kutoa harufu za ajabu ajabu maana kila mdau atamwagia ndani sasa zikikutana huko ndani kunakua na harufu gani?
 
Sababu zipi yeye anatakiwa akitulize sio kukitembezatembeza mwisho kinaanza kutoa harufu za ajabu ajabu maana kila mdau atamwagia ndani sasa zikikutana huko ndani kunakua na harufu gani?

Una miaka mingapi ya kuzaliwa?
 
Vijana wanadhani kutombewer ndio kunavunja Sana ndoa,sio kweli...Tabia hasa ,Mdomo,Kiburi, jeuri, kipato,ndugu n.k ndio 80 percent
 
Vijana wanadhani kutombewer ndio kunavunja Sana ndoa,sio kweli...Tabia hasa ,Mdomo,Kiburi, jeuri, kipato,ndugu n.k ndio 80 percent
Kama wewe ni mwanaume umekamilika basi maumivu ya kutombewar unayajua
 
Inafuatana na nguvu ya mwanamke...kama unamtegemea kiuchumi basi waweza mjua hata bwana wake wa nje na ukasamehe....Vivyo hivyohivyo kwa mwanamke...humsamehe mume kwa sababu hana sauti kiuchumi juu yake kilakitu anamtegemea mume....ila mwanamke anajiweza afu umcheat hakika hiyo ndiyo talaka yako.Watu wanaachana kwa Kofi moja tu sembuse usaliti....uchumi mkuu
Umeandika uhalisia
 
Halafu unatafuta pisi nyingine ambae ex wake alimwacha kwasababu ya usaliti
20240802_174412.jpg
 
Back
Top Bottom