Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
Habari zenu wakuu.
Nauliza hivi Kwa Sisi WANAUME
Je, mwanamke msaliti anasemehewa?
Nauliza hivi Kwa Sisi WANAUME
Je, mwanamke msaliti anasemehewa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuja kaka.Ulikuja kwenye kikao cha mwezi wa 7 pale Mwembeyanga?
Habari zenu wakuu.
Nauliza hivi Kwa Sisi WANAUME
Je, mwanamke msaliti anasemehewa?
WANAUME wenzetu wanapitia changamoto Sana kwenye mahusiano.Umetombewer?
Fafanua kidogo mkuuNdio na hapana.
It is controversial/contentional, ni mjadala usio na mwisho.
SomaHabari zenu wakuu.
Nauliza hivi Kwa Sisi WANAUME
Je, mwanamke msaliti anasemehewa?
Balaa kabisaasamehewi ,unaachana nae aende kwa msaliti wake.
Inategemea kasaliti kwenye nini. Kama kahama Simba kwenda Yanga au Kahama Yanga kwenda Simba huyo anasamehewa.Habari zenu wakuu.
Nauliza hivi Kwa Sisi WANAUME
Je, mwanamke msaliti anasemehewa?
Habari zenu wakuu.
Nauliza hivi Kwa Sisi WANAUME
Je, mwanamke msaliti anasemehewa?
Wanaosema ndio na wanaosema hapana wote wapo sahihi kwasababu zao.Fafanua kidogo mkuu
Kama mtu anataka kubishana juu ya jambo hili, sisi wala makanisa ya Mungu hatutambui desturi nyingineSoma
1 Wakorintho 11:1-16
Mwanaume ni kawaida kutomb njeWewe ujawahi kusaliti?
Wewe ungesemaje hapo mkuuWanaosema ndio na wanaosema hapana wote wapo sahihi kwasababu zao.