Mwamke msaliti

Mwamke msaliti

Habari zenu wakuu.

Nauliza hivi Kwa Sisi WANAUME
Je, mwanamke msaliti anasemehewa?
Ni mkeo? Achana nae maumivu ya kuyombewa yanadumu enzi na enzi hata akivunja kikombe utakumbuka, alafu mwanamke alikukucheat ujue kabisaa aliwaza na akaona ni sahihi kufanya hivyo tafakari sana bora ujiepushe kuliko kuja kuuana badae
 
Jamaa anapitia wakati mgumu Sana
 
Habari zenu wakuu.

Nauliza hivi Kwa Sisi WANAUME
Je, mwanamke msaliti anasemehewa?
Kama huyo binti ndo wa kwanza kwako, na haujawahi kutembea na mwanamke yeyote wala kumsaliti kwa sabuni basi piga chini

Kama unatafuta uhalali wa kutoka na mwingine kwa kumharibia hapa, ni bora ukarudi kwenye nyeto maana siku hizi hakuna mwanamke wala mke wa peke yako
 
Jamaa anapitia wakati mgumu Sana
Alafu nashangaa sana siku hizi hawa wanawake sijui uanzishwe mtaala wa kutulia kwenye ndoa mana wake za watu wameshindikana kuliko wanaojiuza wengine wanaliwa mpaka vinyeo nje huko imagine mke anaenda kuliwa mataqor alafu akirud anajichekesha chekesha anakupikia chakula ,
Kinyaa gani hiki
 
Kuna uzi jamaa jamaa analalamika kapewa uti kali na mke wa mtu , wadada hebu tulieni kwenye ndoa zenu kulea mtoto kama single mama sio rahisi hivyo na kuna tabia mtoto atazikosa kiasili
 
Back
Top Bottom