Mwamke msaliti

Mwamke msaliti

Mwanaume akisaliti bado upendo anaacha nyumbani ila mwanamke anahama na upendo kwa kumpelekea mchepuko. Hakika kwa mwanamke msaliti maisha ya mwanaume yapo mashakani. Mwanamke akitaka kuwa huru zaida kinachofuata kinajulikana.
 
Mfalme daudi mtiwa mafuta, hand picked by God aliua kisa nyege...acha kabisa mbususu kitu chingine bwana...
Daudi alikula Mali ya askali wake akaanda Mbali zaidi kaamua amuue ili awe huru daah
 
Habari zenu wakuu.

Nauliza hivi Kwa Sisi WANAUME
Je, mwanamke msaliti anasemehewa?
HAPANA, mpige talaka aende kwa huyo basha wake mpya, hawezi kaa hata masaa 24 huko atapigwa ban tu na kuanza kuhaha makanisani au misikitini kutafuta nmwanamme zezeta wa kumtunza. Si kila mwanamke anayeshinda kanisani kulia ama misikitini kuswali ni mwema, wengi wao ni makahaba wastaafu wanatafuta mtelemko tu.
 
Upo sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom