Mwamnyeto hakuna mchezaji pale

Mwamnyeto hakuna mchezaji pale

kwenda21

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
3,423
Reaction score
3,414
Ni mchezaji asiyetumia akili uwanjani haangalii hatari inayokuja nyuma, hakawii kukata tamaaa,ni mchezaji anaefanya makosa kuliko mwingine yoyote,tena makosa yasiyo na kichwa wala mguu
 
Ila ndiyo defense iliyoruhusu magoli machache kwenye ligi. Vipi hizo beki bora za tanesco fense mbona zinatoboka tu
 
Ni mchezaji asiyetumia akili uwanjani haangalii hatari inayokuja nyuma, hakawii kukata tamaaa,ni mchezaji anaefanya makosa kuliko mwingine yoyote,tena makosa yasiyo na kichwa wala mguu
😆😆😆😆
 
Ni mchezaji asiyetumia akili uwanjani haangalii hatari inayokuja nyuma, hakawii kukata tamaaa,ni mchezaji anaefanya makosa kuliko mwingine yoyote,tena makosa yasiyo na kichwa wala mguu
kwahiyo ucheze wewe?
 
Ni mchezaji asiyetumia akili uwanjani haangalii hatari inayokuja nyuma, hakawii kukata tamaaa,ni mchezaji anaefanya makosa kuliko mwingine yoyote,tena makosa yasiyo na kichwa wala mguu
Mwamnyeto Kwenye mechi yenye pressing hawezi kabisa , Hana Kasi kabisa na maamuzi sahihi ya haraka .
Haruki sana kuokoa mipira ya juu kama anavyotaka kufunga kutokea mipira ya Kona upande wa wapinzani .

Alivyorudi kutoka Afcon ndiyo ameharibu kabisa tulijua angeboreka zaidi .

Pendekezo nafasi yake akae gift Fred .
 
Mwamnyeto anachoka na umri nao unaanza kumtupa mkono na shida ninayoona kwa timu za kiafrika kwa sasa ni kwamba, wachezaji wengi ni vijeba.

Zaidi ya 90% ya wachezaji wa vilabu vya Afrika wako juu ya miaka 25 na asilimia 90 ya wachezaji wanaodai wana miaka chini ya 25 ni waongo na wanadanganya umri.

Hili tatizo la vilabu vya Afrika kukosa wachezaji chipukizi kwenye vilabu vyao linasababishwa na vilabu kukosa shule za kufundishia vijana kabumbu maarufu kama Academy.

Vilabu badala ya kuwekeza kwenye hizi Academies wenyewe wanatumia pesa nyingi kununua wachezaji vijeba kutoka mataifa ya nje ambao hudanganya kuhusu umri ili wapate mikataba ya muda mrefu na wakati huohuo pia kuendelea na wazawa ambao tayari umri unakuwa umeenda.
 
Back
Top Bottom