ankai
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 3,282
- 4,251
Jamaa amedrop mno yaani hana kila kitu katika character za mchezaji wa mpira hana control, hajiamini, hana mbio hana utulivu wa mpira akipata mpira hajui aupeleke wapi daah!
Mwanangu Mwamnyeyo amedrop ajabu mno yaani sijui amepatwa na nini ila Yanga dirisha dogo mnapaswa kusajili no 5 wa maana.
Huyu mwamnyeto hana lingine jipya analoweza kuipa Yanga na si level ya klabu ya yanga tena uyu ni wa level za Geita ama Prison.