Mwamnyeto si mchezaji wa level ya kuichezea Yanga

Mwamnyeto si mchezaji wa level ya kuichezea Yanga

ankai

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2017
Posts
3,282
Reaction score
4,251
Jamaa amedrop mno yaani hana kila kitu katika character za mchezaji wa mpira hana control, hajiamini, hana mbio hana utulivu wa mpira akipata mpira hajui aupeleke wapi daah!

Mwanangu Mwamnyeyo amedrop ajabu mno yaani sijui amepatwa na nini ila Yanga dirisha dogo mnapaswa kusajili no 5 wa maana.

Huyu mwamnyeto hana lingine jipya analoweza kuipa Yanga na si level ya klabu ya yanga tena uyu ni wa level za Geita ama Prison.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tunapenda mnavyogombana
Apana jamaa amedrpo mno aisee yaani ata miguire ana afadhali asee ana kiwango kibovu mno mno Mwamnyeto anapaswa kutafuta team hana chchote cha kuisaidia Uanga kwa sasa dirisha dogo asajiliwe beki anayejielewa
 
Nilikutana nae mwanzo wa mwaka huu jamaa kafura kinoma kajazia mwili mkubwa naona hapa kwa mpira ndo basi Tena kajiachia sana si unawajua wadigo kwa kuridhika mapema
 
Hii mechi tukiloose dirisha dogo tunauza mbuzi nyingi sana
Daaah yaani michezaji inaboa kabisa hakuna mpira wowote inaoucheza zaidi ya kuonyesha unishoo uwanjani mtu tumefungwa alafu yenyewe ndo inapoza mpira baada ya ishambulie kwa kasi yenyewe ndo kwanza inaleta umaridadi bora ata Morrison anaonyesha uhai kidogo Aucho lakini wengine waliobaki ni meee
 
Azam wameloose leo lakini wamepambana sana.. Ila hadi sasa Half ya kwanza mabishoo sana.. Hii dhana ya kusema Yanga ni fire 🔥 second half .. ila ngoja nisubirie 45 minutes za 2nd half.
 
Imagine bangala kaanzia benchi daaah ila Nabi mizinguo mno
 
Apana jamaa amedrpo mno aisee yaani ata miguire ana afadhali asee ana kiwango kibovu mno mno Mwamnyeto anapaswa kutafuta team hana chchote cha kuisaidia Uanga kwa sasa dirisha dogo asajiliwe beki anayejielewa
Kwanza hajui kukaba kazi yake ni kusindikiza tu
 
Back
Top Bottom