Apana jamaa amedrpo mno aisee yaani ata miguire ana afadhali asee ana kiwango kibovu mno mno Mwamnyeto anapaswa kutafuta team hana chchote cha kuisaidia Uanga kwa sasa dirisha dogo asajiliwe beki anayejielewa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tunapenda mnavyogombana
Nilikutana nae mwanzo wa mwaka huu jamaa kafura kinoma kajazia mwili mkubwa naona hapa kwa mpira ndo basi Tena kajiachia sana si unawajua wadigo kwa kuridhika mapemaApana jamaa amedrpo mno aisee yaani ata miguire ana afadhali asee ana kiwango kibovu mno mno Mwamnyeto anapaswa kutafuta team hana chchote cha kuisaidia Uanga kwa sasa dirisha dogo asajiliwe beki anayejielewa
Daaah yaani michezaji inaboa kabisa hakuna mpira wowote inaoucheza zaidi ya kuonyesha unishoo uwanjani mtu tumefungwa alafu yenyewe ndo inapoza mpira baada ya ishambulie kwa kasi yenyewe ndo kwanza inaleta umaridadi bora ata Morrison anaonyesha uhai kidogo Aucho lakini wengine waliobaki ni meeeHii mechi tukiloose dirisha dogo tunauza mbuzi nyingi sana
Hz Kauli sinakera snaaaaYamekuwa hayo tena?
niseme tu...
Caf champions league Group stage is not for everybody!
Mkuu nyie shangilieni ushindi wenu. Si bado tunapambana hapa huwezi jua maybe tutatusua.Yamekuwa hayo tena?
niseme tu...
Caf champions league Group stage is not for everybody!
Hakuna cha fire second half Yanga wanacheza ummee tu uwanjani sioni icho unachokisema mimiAzam wameloose leo lakini wamepambana sana.. Ila hadi sasa Half ya kwanza mabishoo sana.. Hii dhana ya kusema Yanga ni fire [emoji91] second half ya kingese.. ila ngoja nisubirie 45 minutes za 2nd half.
Nafikiri mmekosa kipimo sahihi hiyo fire second half ni dhidi ya team zipi?Azam wameloose leo lakini wamepambana sana.. Ila hadi sasa Half ya kwanza mabishoo sana.. Hii dhana ya kusema Yanga ni fire 🔥 second half ya kingese.. ila ngoja nisubirie 45 minutes za 2nd half.
😂😂PoleniHii mechi tukiloose dirisha dogo tunauza mbuzi nyingi sana
Kwanza hajui kukaba kazi yake ni kusindikiza tuApana jamaa amedrpo mno aisee yaani ata miguire ana afadhali asee ana kiwango kibovu mno mno Mwamnyeto anapaswa kutafuta team hana chchote cha kuisaidia Uanga kwa sasa dirisha dogo asajiliwe beki anayejielewa