GE2025 Mwamposa achangia milioni 50 Kampeni za CCM Uchaguzi Mkuu 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Natoa tu ufafanuzi wa kimaandiko kwamba Yesu mwenyewe aliwalisha Watu 5000 bila kuhesabu Wanawake na Watoto

Ahsanteni sana

Mlale unono ๐Ÿ™๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
 
Natoa tu ufafanuzi wa kimaandiko kwamba Yesu mwenyewe aliwalisha Watu 5000 bila kuhesabu Wanawake na Watoto

Ahsanteni sana

Mlale unono ๐Ÿ™๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Kachanga tshs ngapi?
isijekuwa kachanga buku tu?
 
Naona Mwamposa ameshindwa kabisa kug'amua kilichowamaliza mitume na manabii wenzake hapa Tanzania naona na yeye anapita njia ile ile.tumuombee kwa kweli.waumini wake wako choka mbaya anachota maji mtoni kwenda kumwaga baharini na kushiriki utakatishaji wa pesa haramu kwenye uchaguzi.very sad.
 
Wanamuita mtume na nabii aisee!! Hata kina petro wangekuwepo wangemshangaa kweri kweri
 
Natoa tu ufafanuzi wa kimaandiko kwamba Yesu mwenyewe aliwalisha Watu 5000 bila kuhesabu Wanawake na Watoto

Ahsanteni sana

Mlale unono ๐Ÿ™๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Kwa hiyo wameanza kutubu na kuanza kufuata njia iliyo nyembamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ