mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,018
- 591
Kumsingizia Yesu tuu aahaaNatoa tu ufafanuzi wa kimaandiko kwamba Yesu mwenyewe aliwalisha Watu 5000 bila kuhesabu Wanawake na Watoto
Ahsanteni sana
Mlale unono 🙏🇮🇱🇹🇿
Kumsingizia Yesu tuu aahaaNatoa tu ufafanuzi wa kimaandiko kwamba Yesu mwenyewe aliwalisha Watu 5000 bila kuhesabu Wanawake na Watoto
Ahsanteni sana
Mlale unono 🙏🇮🇱🇹🇿
kwanza kwashirikisha waumini wanotoa sadaka na zaka?Mtumishi badala ya kuchangiwa anachangia huyu sasa wakisema hizi taasisi zilipe kodi atajitetea na nini?
Umemaliza mkuu...Ogopa technologyUkielewa ujumbe huu wa Makonda basi tukio la leo majibu yake ni mepesi sana
![]()
104K views · 4.8K reactions | #Makonda “CCM imekaa kihuni sana hata wahuni wenyewe wanaijua haichangiwi na wanaoipenda ila wale wenye hofu, usipochangia wao ndo wanamiliki vyombo vyote wataamua wakuletee nini TRA au Takukuru wakukumbushe kwamba hii n
#Makonda “CCM imekaa kihuni sana hata wahuni wenyewe wanaijua haichangiwi na wanaoipenda ila wale wenye hofu, usipochangia wao ndo wanamiliki vyombo vyote wataamua wakuletee nini TRA au Takukuru...www.facebook.com
Tapelineno moja kwa mtumishi