Mwamposa aibuka na kumtetea TB Joshua

Mwamposa aibuka na kumtetea TB Joshua

BBC wamejichanganya! Ukisoma kwa umakini utagundua hii scandal ni uzushi. Kwenye uchungu wao wanasema,
Kuna wale mabinti walienda wote kwa TB Joshua na akarudi mmoja mwingine akabaki huko. BBC wanasema, wakati familia ya huyo binti aliyebaki huko haojui yuko wapi yule alieenda naye naye kukusema bali moyo wake ulikuwa ukimuuma tu.
Pia walimuonyesha yule binti aliyekuwa anatafutwa akifanya huduma huku akionekana kwenye TV.
Na tujuavyo kwa nchi za wenzetu hakuna mtu atakayetoka nje ya mipaka ya nchi asijulikane alienda wapi.
 
Kengere ya hatari imesha anza kulia kwenye kichwa chake kuwa shutuma dhidi ya Joshua zitaanza kufanya mabaharia wahamishie macho kwake mfukunyue aumbuke hivyo anajaribu kuzima shoo.
 
Huyu vipi,,

Shutuma, Malalamiko,na Kesi za TB Joshua (Abdul-Fatai) zipo kitambo hata kabla ya mauti Kumkuta bwana huyu!

Ni uvivu wake na Ushamba wake wa kupata taarifa...za ndugu Yao TB Joshua.. Toka mjini Lagos.

Na taarifa za udaku udaku Toka Nairaland Ikotun, Bwana TB Joshua baada ya kuona kimbuga kinakuja kumchota kwa Kasi, Hana ujanja Tena AkajiMATHAYO,(Mathayo 27:5).

Afande sele msanii japo raia wanaotofautiana kisiasa humuita kwa dhihaka Afande Mula Musuba ,ana wimbo wake akiwa na kijana Bell 9.-Africa Dini ililetwa TU.

TB Joshua alikuwa Opportunist/Msaka fursa aliyetaka Money, power,Fame..na hakika alivipata.

Paul Agomoh anamuita "Evil-Genius".
 
Mwamposa anadai waliotoa tuhuma kuhusu TB Joshua ni wale waliowahi kufukuzwa kwenye kanisa hilo. Kama wangetaka kujua ukweli wangefuata watoto wa TB Joshua.

Anaongeza kuwa, hata mtu atakayefukuzwa katika kanisa lake la Rise and Shine hawezi kusema mazuri kuhusu kanisa lake baada ya kufukuzwa.

Aidha, Mwamposa anahoji kwanini shutuma dhidi ya TB Joshua zimeibuka baada ya kifo chake?

Pia soma:
- Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

- Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake
This logical fallacy is called ad hominem.

Badala ya kujibu hoja za mtu, unamchafua mtoa hoja.
 
majizi yanateteana... pumbavu nenda ocean road ukawaponye watu
 
Haya, yote yatakuwa bayana siku ya kiyama.

Tutakapofika kwenye bonde la kukata maneno hakuna kitakachofichika.

Ukweli wa mtu anaujua mwenyewe na Mungu wake.
Inawezekana huyo TB Joshua alikuwa mtumishi wa YEHOVA au Lucifer, sisi tuendelee kutenda mema hayo mengine tumuachie Mungu maana mwenzetu kashaumaliza mwendo.
 
Manabii feki 3 - 0 Business Motivation Speakers.

Ujinga wako = ukwasi kwa Wana mazingaombwe "Manabii feki".
JamiiForums1321904821.jpg
 
Mbona povu linawatoka sana? Kuna utapeli gani ulifanywa na huyo mtumishi wa mungu? Unafiki uachwe, kama abrakadabra zipo hata kwenye dini zinazoheshimika
 
BBC ni madhalimu tu kama walivyo madhalimu ya mabeberu.

BBC sio chombo cha kupatia taarifa, wala sio chombo cha habari cha kuaminiwa kufanya uchunguzi Afrika, ikiwa katika miaka yake in exesence hawajawahi kusema chechote chanya kuhusu Viongozi wake..

Mwamposa yupo sahihi kabisa.

#stopmoderndaylynching
 
Moja ya vitu muhimu sana kwenye maisha ni kujua kwamba historia ya muafrika haitakiwi kubakia kama historia, Wazungu wangemsifia TB joshua watu wangemuenzi.

Mtaendelea kuwakalili wakina carl peters wenzetu wanajua sana kufuta uhalisia wa mtu mweusi.
TB Joshua tulimjua kuwa ni tapeli kabla hata BBC hawajammulika.

TB Joshua alijua Waafrika wajinga wanawaabudu wazungu, ndiyo maana akafanya juu chini kuvutia waumini wazungu.

Hicho unachokisema alikitumia TB Joshua katika utapeli wake.
 
BBC ni madhalimu tu kama walivyo madhalimu ya mabeberu.

BBC sio chombo cha kupatia taarifa, wala sio chombo cha habari cha kuaminiwa kufanya uchunguzi Afrika, ikiwa katika miaka yake in exesence hawajawahi kusema chechote chanya kuhusu Viongozi wake..

Mwamposa yupo sahihi kabisa.

#stopmoderndaylynching
Ondoa BBC.

Wewe unaamini miujiza ya hawa manabii?
 
Mwamposa anadai waliotoa tuhuma kuhusu TB Joshua ni wale waliowahi kufukuzwa kwenye kanisa hilo. Kama wangetaka kujua ukweli wangefuata watoto wa TB Joshua.

Anaongeza kuwa, hata mtu atakayefukuzwa katika kanisa lake la Rise and Shine hawezi kusema mazuri kuhusu kanisa lake baada ya kufukuzwa.

Aidha, Mwamposa anahoji kwanini shutuma dhidi ya TB Joshua zimeibuka baada ya kifo chake?

Pia soma:
- Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua

- Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake
Kwa akili ya Mwamposa anafikiri watoto wa TB Joshua watasema baba yao alikuwa mbakaji? Waumini wa Kiiislam tu mpaka leo hawataki kukubali kuwa Muddy alikuwa firahuni na mbakaji
 
Back
Top Bottom