This logical fallacy is called ad hominem.Mwamposa anadai waliotoa tuhuma kuhusu TB Joshua ni wale waliowahi kufukuzwa kwenye kanisa hilo. Kama wangetaka kujua ukweli wangefuata watoto wa TB Joshua.
Anaongeza kuwa, hata mtu atakayefukuzwa katika kanisa lake la Rise and Shine hawezi kusema mazuri kuhusu kanisa lake baada ya kufukuzwa.
Aidha, Mwamposa anahoji kwanini shutuma dhidi ya TB Joshua zimeibuka baada ya kifo chake?
Pia soma:
- Mwamposa ni kopi halisi ya mwendazake TB Joshua
- Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake
TISS ipi? ile ambayo mteuzi wa wao wake alipekeka sadaka kwa mtume na nabii na akamualika jumba kuu au kuna nyingine?Faili lake TISS wanalo. Wanamuangalia tu, siku wakiamua kumsanua atabaki mtupu!
I meant Mteuzi wa boss waoFaili lake TISS wanalo. Wanamuangalia tu, siku wakiamua kumsanua atabaki mtupu!
HakikaHustler to hustler lazima amlinde mwanae
TB Joshua tulimjua kuwa ni tapeli kabla hata BBC hawajammulika.Moja ya vitu muhimu sana kwenye maisha ni kujua kwamba historia ya muafrika haitakiwi kubakia kama historia, Wazungu wangemsifia TB joshua watu wangemuenzi.
Mtaendelea kuwakalili wakina carl peters wenzetu wanajua sana kufuta uhalisia wa mtu mweusi.
Ondoa BBC.BBC ni madhalimu tu kama walivyo madhalimu ya mabeberu.
BBC sio chombo cha kupatia taarifa, wala sio chombo cha habari cha kuaminiwa kufanya uchunguzi Afrika, ikiwa katika miaka yake in exesence hawajawahi kusema chechote chanya kuhusu Viongozi wake..
Mwamposa yupo sahihi kabisa.
#stopmoderndaylynching
Kwa akili ya Mwamposa anafikiri watoto wa TB Joshua watasema baba yao alikuwa mbakaji? Waumini wa Kiiislam tu mpaka leo hawataki kukubali kuwa Muddy alikuwa firahuni na mbakajiMwamposa anadai waliotoa tuhuma kuhusu TB Joshua ni wale waliowahi kufukuzwa kwenye kanisa hilo. Kama wangetaka kujua ukweli wangefuata watoto wa TB Joshua.