Mwamposa ameshindikana kumejaa, kumetema, kumetapika wa kumuweza huyu jamaa ni Pope Francis mwenyewe

Naunga mkono hoja kwa asilimia mia
 
kuna tv za laki tu na antena za elfu 30 ukipata na kifurushi cha 350 maisha yanaenda sinpo tu, uwe na tv yako getoni mwako
 
Sijawahi kunywa pombe ndugu yangu
Umeshalewa wewe, usisubiri hadi ubebwe just rudi home.
Halafu kumbe mpo mashindanoni?
 
Mwakajana, mwingine alisafiri toka huko kusini mpaka Dar kuhudhuria hiyo mikutano ya huyo bwana ili aondokane na umaskini, akatoa sadaka ya kutaka kuondokana na umaskini.

Katikati ya mwaka huu baada ya kuhangaika sana na kushindwa kuona mwanga, huku mwanae akiwa amekwama hata kwenda chuo cha serikali, akaishia kuwa omba omba. Nikampa ukweli wake kuwa tatizo la wao wajinga, ukimsaidia, kwa ujinga ule ule ataamini eti wewe kumsaidia ni kwa sababu ya maombi ya Mwamposa! Nikamwambia, namsaidia mwanae aende chuo, lakini aende akafanye kazi, asipoteze muda na pesa kwenye vitu vya kufikirika. Akashukuru na kuishia kwenye kilimo cha maharage kwa kutumia mikono yake.
 
Hao waumini si wametoka nchi nzima, katoliki jimbo moja tu wakikusanyika hakuna kiwanja cha kuwatosha, afu unamlinganisha na pope Francis,
 
Hao waumini si wametoka nchi nzima, katoliki jimbo moja tu wakikusanyika hakuna kiwanja cha kuwatosha, afu unamlinganisha na pope Francis,
Hapo kwenye nyomii lake kina kila dinii unayoijuaa wewe!.. people get healed!... Mwamba ameshika spiritual world!
 
.......nilibahatika kuonana nae nikamshaurii ajenge viwanda hata 2 au 3....Mkuranga....Mtwara na Mbeya.....asichungulie mipesa ndani.....awape wenye ujuzi kuendesha viwanda na business wataendesha.....amejenga hotel keao Mbeya ...naona haitoshi...nilimshauri ingawamuch know sana anajua kila kitu pia ana wapambe 4 wamemzunguka....akiwemo Furaha wa Ubunge wa Kawe..
 
KATAA NDOA 3-0 MALOFA WALIOOA


Ushindi kila siku unaenda kwa kataa ndoa. Hii yote ni kwa kuwa mtu yoyote mwenye akili timamu anafahamu kuwa kiwanda kikuu cha kuzalisha MAZOMBIE(WAJINGA) ni ndoa tena ndoa za MALOFA/ WALALA HOI.

Ukifatilia kwa ukaribu unapata kujua kwamba asilimia kubwa ya wafuasi wa THE GREAT SCAMMER OF KAWE na MASCAMMER wengine kote duniani unapata kuwa ni WANAWAKE.

Ukiacha sababu ya udhaifu wa kihisia wa kiumbe mwanamke. Udhaifu mwingine ni ule wa kukosa kiongozi wa kuwaongoza hawa wanawake. Wanaume MALOFA/ MASKINI wamekosa udhibiti wa nyumba zao hivyo kupelekea wanawake kukosa hata uimara wa imani zao.

Ugumu wa maisha ndo kipimo cha MRUNDIKANO uliopatika pale kwa SCAMMER, wanaume waliokiuka kanuni za kidunia ndio wa kulaumiwa. Haiingii akilini ni vipi mwqnaume asiye na mali anajitoa akili anaoa????!!!!!

Mwanamke hajaumbiwa shida ikiwa shida zitamuandama atawehuka na atafanya maamuzi ambayo sio sahihi mfano hili la kwenda mikesha kuombewa ili changamoto za kimaisha ziishe🤗🤗🤗

#Kataa ndoa wataendelea kuchukua ushindi kila iitwapo leo,maana wanaume wengi wamekubali unyonge!!!
 
Ukweli mchungu
 
Tapeli huyo asubiri tupate rais mwenye akili atafunga biashara yake kwa sasa amekaa na uongozi wa kizomb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…