Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Zipo kamati za ufundi, mkuu. Ukiona vyaelea...Nje ya mada kidogo
Hivi ni nani huwa anatunga haya majina ya mikesha ya mwamposa???
Utasikia VUKA NA CHAKO.
CHAKO NI CHAKO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo kamati za ufundi, mkuu. Ukiona vyaelea...Nje ya mada kidogo
Hivi ni nani huwa anatunga haya majina ya mikesha ya mwamposa???
Utasikia VUKA NA CHAKO.
CHAKO NI CHAKO
Naunga mkono hoja kwa asilimia miaPesa anayoingiza huyo mshikaji ni pesa Mingi, sana Pesa Hiyo Yote ni Mali yake, amefanya uwekezaji mkubwa, Magari yalikua yanatangaza Dar nzima nimesikia matangazo yake.
Amewekeza Pesa lazima irudi maana
1. Sadaka
2.Maji
3.Mafuta
4.Zaka
5.Sadaka ya Kujimaliza
6.Vipeperushi
7.Karatasi ya kuandika maombi.
8.Shukrani.
Note: Hizo zote ni Njia za kuingiza Pesa. Huyo jamaa ni Bilionea, Mi Binafsi namsifu ametumia akili Sana kuteka Akili na Hisia za watu, watu wanatoa Pesa kwa hiyali yao Yeye anakua Tajiri maradufu.
Kiuhalisia Jamaa ni Bilionea.
Hongera, Hongera,Hongera Hii Akili safi sana Unakula Pesa kwa Maiki na Sautii.... imeishaaa hiyooooo
🤣🤣🤣🤣 Mbona ni kama umevurugwa mkuuMode mnisaidie kuedet hapo juu wa kumuweza siyo ni kumuweza
kuna tv za laki tu na antena za elfu 30 ukipata na kifurushi cha 350 maisha yanaenda sinpo tu, uwe na tv yako getoni mwakoAmani kwenu watumishi
Huyu mwamposa kashindikana
Kwa sasa dunian wa kushindana naye ni pope Francis mwenyewe hakuna tena mwingine
Hata shetani hawezi kujaza watu kama anaojaza mwamposa
Hata Trump hamuwezi huyu jamaa
Acha injili ihubiliwe
Acheni kuhukumu hakimu ni MWENYEZI MUNGU
Ipo siku atakuja mwanakondoo KRISTO YESU yeye mwenyewe ndo tutakapojua kuwa tofaut ya ngano na magugu
Nb mimi niko zangu ndani natazamia kwenye TV ya kwa jilan nikisema Nina tv huo ni uongo tv Sina ghetto kwangu , MUNGU ndo anajua maisha yangu
Asanten sana
Sijawahi kunywa pombe ndugu yangu
Umeshalewa wewe, usisubiri hadi ubebwe just rudi home.Amani kwenu watumishi
Huyu mwamposa kashindikana
Kwa sasa dunian wa kushindana naye ni pope Francis mwenyewe hakuna tena mwingine
Hata shetani hawezi kujaza watu kama anaojaza mwamposa
Hata Trump hamuwezi huyu jamaa
Acha injili ihubiliwe
Acheni kuhukumu hakimu ni MWENYEZI MUNGU
Ipo siku atakuja mwanakondoo KRISTO YESU yeye mwenyewe ndo tutakapojua kuwa tofaut ya ngano na magugu
Nb mimi niko zangu ndani natazamia kwenye TV ya kwa jilan nikisema Nina tv huo ni uongo tv Sina ghetto kwangu , MUNGU ndo anajua maisha yangu
Asanten sana
hao kina kakobe na wenzake ni old school, kina mwamposa ndio habari ya mjini kwa sasaWalianza Kwa Kakobe, Mwingira, Rwakarate, Mwakasege, Mzee wa upako bado hawajakipata wanachokitafuta?
Dini.Ongezea dini potofu
Hao waumini si wametoka nchi nzima, katoliki jimbo moja tu wakikusanyika hakuna kiwanja cha kuwatosha, afu unamlinganisha na pope Francis,Amani kwenu watumishi
Huyu mwamposa kashindikana
Kwa sasa dunian wa kushindana naye ni pope Francis mwenyewe hakuna tena mwingine
Hata shetani hawezi kujaza watu kama anaojaza mwamposa
Hata Trump hamuwezi huyu jamaa
Acha injili ihubiliwe
Acheni kuhukumu hakimu ni MWENYEZI MUNGU
Ipo siku atakuja mwanakondoo KRISTO YESU yeye mwenyewe ndo tutakapojua kuwa tofaut ya ngano na magugu
Nb mimi niko zangu ndani natazamia kwenye TV ya kwa jilan nikisema Nina tv huo ni uongo tv Sina ghetto kwangu , MUNGU ndo anajua maisha yangu
Asanten sana
Hapo Kuna mtu zimeenda kukesha Zina pesa kuliko ukoo wako wote,,,one day pita parking Yao uone ukidelay na ki IST chako hupat sehem ya kupaki!.Wingi wa watu kwenye sehemu kama hizo ni kipimo cha ugumu wa Maisha
Hapo kwenye nyomii lake kina kila dinii unayoijuaa wewe!.. people get healed!... Mwamba ameshika spiritual world!Hao waumini si wametoka nchi nzima, katoliki jimbo moja tu wakikusanyika hakuna kiwanja cha kuwatosha, afu unamlinganisha na pope Francis,
Wabatanganga tu na mwisho hua wanarudi walipotoka hapo wanafanya ukaguziWalianza Kwa Kakobe, Mwingira, Rwakarate, Mwakasege, Mzee wa upako bado hawajakipata wanachokitafuta?
Ukweli mchunguKATAA NDOA 3-0 MALOFA WALIOOA
Ushindi kila siku unaenda kwa kataa ndoa. Hii yote ni kwa kuwa mtu yoyote mwenye akili timamu anafahamu kuwa kiwanda kikuu cha kuzalisha MAZOMBIE(WAJINGA) ni ndoa tena ndoa za MALOFA/ WALALA HOI.
Ukifatilia kwa ukaribu unapata kujua kwamba asilimia kubwa ya wafuasi wa THE GREAT SCAMMER OF KAWE na MASCAMMER wengine kote duniani unapata kuwa ni WANAWAKE.
Ukiacha sababu ya udhaifu wa kihisia wa kiumbe mwanamke. Udhaifu mwingine ni ule wa kukosa kiongozi wa kuwaongoza hawa wanawake. Wanaume MALOFA/ MASKINI wamekosa udhibiti wa nyumba zao hivyo kupelekea wanawake kukosa hata uimara wa imani zao.
Ugumu wa maisha ndo kipimo cha MRUNDIKANO uliopatika pale kwa SCAMMER, wanaume waliokiuka kanuni za kidunia ndio wa kulaumiwa. Haiingii akilini ni vipi mwqnaume asiye na mali anajitoa akili anaoa????!!!!!
Mwanamke hajaumbiwa shida ikiwa shida zitamuandama atawehuka na atafanya maamuzi ambayo sio sahihi mfano hili la kwenda mikesha kuombewa ili changamoto za kimaisha ziishe🤗🤗🤗
#Kataa ndoa wataendelea kuchukua ushindi kila iitwapo leo,maana wanaume wengi wamekubali unyonge!!!
Tapeli huyo asubiri tupate rais mwenye akili atafunga biashara yake kwa sasa amekaa na uongozi wa kizombPesa anayoingiza huyo mshikaji ni pesa Mingi, sana Pesa Hiyo Yote ni Mali yake, amefanya uwekezaji mkubwa, Magari yalikua yanatangaza Dar nzima nimesikia matangazo yake.