Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, jana ameshiriki ibada kwa Mtume Mwamposa.
Nimemsikia akisema Rais amempa sadaka ampelekea Mwamposa, akamkabidhi bahasha mtumishi wa Mungu, akaongea ongea hapo vitu ambavyo havieleweki.
Mwamposa nakushauri hiyo pesa itakase nahisi itakuwa ni mgawo uliotoka kule kwenye pesa haramu.