Mwamposa apewe maua yake

Wachache ndio tunaelewa hivi vitu..
 
Aliposhindwa kujiokowa Yesu alipiga kelele kumuomba Allah amsaidie, huyo ndiyomwokozi wetu na Yesu pia ndiye mwokozi wake aliyemuita wakati wa matatizo.

Usisahau hilo.
Yesu alikuwa anatimiza tuu maandiko. Elewa hilo pia, everything was planned.
 
Wajinga ndio waliwao. Tunakupa kile wakitaka ila Mungu wa kweli hana mbwembe
 
Kwa kukusanya watu hakuna wa kuvunja record, ila sio mtumishi wa Mungu wa kweli
 
Tayari yule ni mwombezi wa taifa hili japo kuna waombezi wengine wengi pia.
 
Huyu jamaa kawashika wajinga haswa!
Mtu anajipa sifa na utukufu kwa kutumia ushirikina kuwafubaza akili wafuasi awakamue sadaka kisha aendelee na mishe zake haram kwa mgongo wa kanisa
Toa avidence kuwa anatumia ushirikina.. Usiongee wakat mwaka bado hata haujaanza kukuchanganya.
 
Toa avidence kuwa anatumia ushirikina.. Usiongee wakat mwaka bado hata haujaanza kukuchanganya.
Niliwahi kwenda kumuona miaka fulani ya nyuma kipindi akianza kung'aa.
Nilimpeleka bi mkubwa, eti kumuona tu laki na nusu., ok tukatoa.
Akampa bi mkubwa mafuta ya kupaka miguu sijui na viushubwada gani, jumla 200K hivi na ushee.
Ndo mtumishi huy0??
 
Toa ushuhudi, si alipona lakin au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…