Mwamposa avunja rekodi zote tangu Tanzania iwepo kwa Kujaza watu viwanja vyote vya KAWE Jijini Dar es salaam

Mwamposa avunja rekodi zote tangu Tanzania iwepo kwa Kujaza watu viwanja vyote vya KAWE Jijini Dar es salaam

Raia - JMT

Senior Member
Joined
Jun 23, 2024
Posts
121
Reaction score
112
Nipo hapa Kawe Mungu wa Mwamposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.

Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.

Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?​
Mwamposa.jpg
Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Facebook
Instagram​
 
Nipo hapa Kawe Mungu wa Mwa.mposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.

Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.

Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?

Angalia<<Mwamposa Live>>

Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Facebook
Instagram

Kuna mwingine naye amelikoleza Morogoro yeye amemualika Nchimbi kama Mgeni Rasmi
 
Ujinga mwingi sana, namfahamu dada moja mvivu sana leo kaacha kuja kwenye kibarua kaenda kwa Mwamposa.

Tukiweza kuondoa serikali mbovu afrika kinachofuata ni hawa manabii wa uongo.

Najua kuna watu watakasirika lakini hakuna kitu pale.
Hawa ni watu wabaya sana na bila kuondoa hawa nchi haiwezi kupata maendeleo. nI matapeli hawa wanadanganya watu na kuwajaza imani za kijinga kabisa.
 
Back
Top Bottom