Raia - JMT
Senior Member
- Jun 23, 2024
- 121
- 112
Kuna mwingine naye amelikoleza Morogoro yeye amemualika Nchimbi kama Mgeni RasmiNipo hapa Kawe Mungu wa Mwa.mposa kajaza viwanja vyote vya Kawe Jijini Dar es salaam.
Inakadiriwa Kuna wanaume zaidi ya 400,000 bila kuhesababu Wanawake na watoto.
Je, Watu hawa wote ni wajinga na Wapumbafu au na wewe uliyeko nyumbani ufuatilie kwa TV au kama uko Dar ufike Mara moja?
Angalia<<Mwamposa Live>>
Ukiwa YOTUBE
Ukiwa Tiktalk,
Ni tapeli na mshirikina haswaNi wapumbavu na wajinga kweli kweli
That man is a FAKE PROPHET.
Hawa ni watu wabaya sana na bila kuondoa hawa nchi haiwezi kupata maendeleo. nI matapeli hawa wanadanganya watu na kuwajaza imani za kijinga kabisa.Ujinga mwingi sana, namfahamu dada moja mvivu sana leo kaacha kuja kwenye kibarua kaenda kwa Mwamposa.
Tukiweza kuondoa serikali mbovu afrika kinachofuata ni hawa manabii wa uongo.
Najua kuna watu watakasirika lakini hakuna kitu pale.