MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Naona taratibu sasa Mwamposa anataka Kupunguza Waumini wake ili akajikite sasa Kusimamia Miradi yake mingi na Biashara zake nyingi zenye Utajiri mkubwa kuliko Umasikini Uliokomaa wa Waumini wake wanaomuona Mungu Mtu hapa Dar es Salaam na Tanzania.
Kwasababu kama ni Maombezi hayo ya Uwongo na Kweli yapo ( yanapatikana ) Kwake Arise and Shine Kawe Tanganyika Packers sasa inakuwaje tena leo anasema ( anawaambia ) Waumini wake ambao 99% wanafuata Kwake Maombezi ya Kimiujiza na siyo Mafundisho ya Neno la Mungu?
Sawa Mwamposa wenye Akili tumekuelewa mno na najua Umeshachoka sasa Huduma yako kwakuwa Umeshatajirika vya Kutosha kutokana na Ungumbaru wao wa Kiimani na umewaonyesha Dalili zote za Kuwakataa mazima lakini hawakusikii na Leo umeona uwape Makavu kuwa wasifuate Maombezi ya Miujiza Kwako bali Mafundisho ya Neno la Mungu ili Wakasirike na waachane nawe ili upate Tiketi ya Kuacha Mahubiri na ujikite na Miradi yako na Biashara zako Kem Kem ( mbalimbali )
Amesema haya Asubuhi Saa 5 hii Kanisani Kwake Arise and Shine Kawe Tanganyika Packers alipokuwa Akihubiri na Mimi MINOCYCLINE a k.a Mfukunyuku Mbobezi nimemsikia Mubashara.
Haya Kazi Kwenu sasa Waumini wake.