Asante kwa sincere Credits zako juu yangu. Ubarikiwe kwa kuweza Kutambua nini kilichopo ndani yangu ambacho nimetunukiwa na Mwenyezi Mungu kiasi kwamba kwa Watu wengine kama LIKUD ni kibaya Kwao kiasi cha kuwajengea Wivu na Chuki kubwa tu dhidi yangu.Hii nchi ingekuwa na Gentamycine kila mkoa basi ingenyoka sana tu🤣🤣
Ukiona Uzi umeanzishwa halafu hapo hapo Moderators nao wakausindikiza na Nyuzi zingine za kumhusu Mtu huyo huyo Jua ya kwamba huo Uzi ni wa muhimu na hata Wao wameona una Hoja ya Msingi ya Kujadiliwa.Kiongozi wa kiimani ana chafuliwa Kwa kupewa tuhuma ambazo chanzo chake ni mawazo na fikra za mtoa tuhuma.
Tafadhali mods Kwa heshima ya jukwaa hili uzi huu ufutwe . Hizi ni aina ya threads ambazo Zina shusha hadhi ya JF.
,
Moderator
Hapa ndipo tujiulize.....What chance do the citizens of a country have if the most powerful people in government are monsters??Kazi ya fasihi hutungwa wakati mwingine ku-reflect maisha ya jamii fulani. Kwamba, mambo yapo duniani.
Kuna tamthiliya ya brothers kutoka Ufilipino ilioneshwa Startimes miaka iliyopita hivi karibuni ilikuwa na visa vya kimafia sana.
Kisa kimojawapo, matajiri fulani walikuwa wanaendesha kituo cha kulelea watoto yatima kumbe michezo yao ni kuwauza watoto kwenda kuwatolea figo. Askari mmoja Cardo ndio alikuwa anapambana na huo umafia lakini alikuwa akipata upinzani mkali kwa sababu hao matajiri walikuwa na nguvu mpaka serikalini.
Hela zote zinazopigwa za kiume kabisa serikalin nyingi zinatakasiwa kwenye hiz taasisi za dini iwe ni uislam au ukristo. Kuna dunia nyingine tunaish nayo hapa hapa.Yaani Mwamposa umeona ukisema hizo Nyumba ni zako Utasababisha Waumini wako unaowakamua Kutwa waanze Kukukacha hivyo ukamtafuta Rafiki yako Lugumi kwakuwa Yeye ni Mfanyabishara basi ajifanye ni zake kisha Wewe ucheze Mchezo wa Waandishi wa Habari wajifanye wanakuja Kukuhoji kisha uanze Kumsifia Lugumi na ujifichie katika Kimvuli chake.
Soma Pia:
Na wenye Akili tunajua nyuma ya hizo Nyumba kuna Jambo na nasikia mtazijenga nchi nzima na kuna Mtu mkubwa sana atawasifieni Siku si nyingi kwa hizo Nyumba kisha nae ataweka mzigo ili mpango fulani wa Kuvuna Fedha na kufanya Uwekezaji mkubwa wa Kibiashara wa muda mrefu utimie.
- Lugumi ana roho ya kumcha Mungu: Mtume Mwamposa
- Muda wa kujisafisha: Lugumi kuwajengea maghorofa sita watoto yatima Dar
Siyo kila Mtanzania ana Akili nzito za kutoweza kutambua Jambo kama mlilolifanya.
kiasi kwamba kwa Watu wengine kama @LIKUD ni kibaya Kwao kiasi cha kuwajengea Wivu na Chuki kubwa tu dhidi yangu.
Alikutapeli Nini?Lugumi ni tapeli .sijui kwanini mnachelewa kuligundua ilooo
Acha kumzushia mtumishi wa Mungu bila ushahidi.Asante kwa sincere Credits zako juu yangu. Ubarikiwe kwa kuweza Kutambua nini kilichopo ndani yangu ambacho nimetunukiwa na Mwenyezi Mungu kiasi kwamba kwa Watu wengine kama LIKUD ni kibaya Kwao kiasi cha kuwajengea Wivu na Chuki kubwa tu dhidi yangu.
Kwa kunisifia Kwako huku kutoka Moyoni mwako tegemea upesi sana kuambiwa kuwa hii ID yako ni yangu (ni Mimi mwenyewe GENTAMYCINE) na kwamba hapa nimejisifia na nataka Umaarufu.
Shukran nyingi ziende kwa Mwenyezi Mungu.
Zombie la MwamposaKiongozi wa kiimani ana chafuliwa Kwa kupewa tuhuma ambazo chanzo chake ni mawazo na fikra za mtoa tuhuma.
Tafadhali mods Kwa heshima ya jukwaa hili uzi huu ufutwe . Hizi ni aina ya threads ambazo Zina shusha hadhi ya JF.
,
Moderator
Mwamposa ni tapeli kama matapeli wengine tu.Yaani Mwamposa umeona ukisema hizo Nyumba ni zako Utasababisha Waumini wako unaowakamua Kutwa waanze Kukukacha hivyo ukamtafuta Rafiki yako Lugumi kwakuwa Yeye ni Mfanyabishara basi ajifanye ni zake kisha Wewe ucheze Mchezo wa Waandishi wa Habari wajifanye wanakuja Kukuhoji kisha uanze Kumsifia Lugumi na ujifichie katika Kimvuli chake.
Soma Pia:
Na wenye Akili tunajua nyuma ya hizo Nyumba kuna Jambo na nasikia mtazijenga nchi nzima na kuna Mtu mkubwa sana atawasifieni Siku si nyingi kwa hizo Nyumba kisha nae ataweka mzigo ili mpango fulani wa Kuvuna Fedha na kufanya Uwekezaji mkubwa wa Kibiashara wa muda mrefu utimie.
- Lugumi ana roho ya kumcha Mungu: Mtume Mwamposa
- Muda wa kujisafisha: Lugumi kuwajengea maghorofa sita watoto yatima Dar
Siyo kila Mtanzania ana Akili nzito za kutoweza kutambua Jambo kama mlilolifanya.
🙏🙏🙏🙏Zombie la Mwamposa
mchezea matope ukiwa unachezea topeUkiona Uzi umeanzishwa halafu hapo hapo Moderators nao wakausindikiza na Nyuzi zingine za kumhusu Mtu huyo huyo Jua ya kwamba huo Uzi ni wa muhimu na hata Wao wameona una Hoja ya Msingi ya Kujadiliwa.
Nilichojaaliwa na Mwenyezi Mungu hakina mfano hapa duniani na najua kuwa kinachokutesa Wewe hadi KUNICHUKIA kutwa na Kunionea WIVU ni Mimi GENTAMYCINE kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer.
Una Roho mbaya na ya Kishetani sana
Mwamposa ni tapeli kama matapeli wengineAcha kumzushia mtumishi wa Mungu bila ushahidi.
Ndio maana kila siku unapigwa ban.
Hizo ni side effects za kuwazushia watumishi wa Mungu.
Hizo ban unazo pigwa JF zinaweza kuwa reflection of what is going on in your life in the spiritual realm.
Ni viboko vya kiroho hivyo unapigwa
Ndio maana hunaga hela
Mimi huwa sipendi kuhukumu mtu yeyote,Mwamposa ni tapeli kama matapeli wengine
Anatumia vazi la dini na Jina la Yesu kuibia na kukaba watu
Mbele ya njaa hakuna anayejali hilo ,Mimi huwa sipendi kuhukumu mtu yeyote,
Ila hakuna jambo la hatari kama kumpotosha mtu kiroho kwakuwa mwisho wa siku utadaiwa roho za watu ulizozipotosha.
Hivyo kabla ya mtu kuanza kufanya lolote, inapaswa kujiuliza mara mbili mbili kabla ya kulifanya hilo jambo kwakuwa jambo lolote la kiroho unapambana na Mungu moja kwa moja.
Mungu awasaidie watu wafahamu kuwa haipaswi kumchezea Mungu hata kidogo.
Mungu sio wa mchezo mchezo.
Tukutane heplo upate supu na bia kumiAsante kwa sincere Credits zako juu yangu. Ubarikiwe kwa kuweza Kutambua nini kilichopo ndani yangu ambacho nimetunukiwa na Mwenyezi Mungu kiasi kwamba kwa Watu wengine kama LIKUD ni kibaya Kwao kiasi cha kuwajengea Wivu na Chuki kubwa tu dhidi yangu.
Kwa kunisifia Kwako huku kutoka Moyoni mwako tegemea upesi sana kuambiwa kuwa hii ID yako ni yangu (ni Mimi mwenyewe GENTAMYCINE) na kwamba hapa nimejisifia na nataka Umaarufu.
Shukran nyingi ziende kwa Mwenyezi Mungu.