HISTAMINE
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 477
- 1,135
huyu Mwamposa anajua sana kula na vipofu. Mwezi Disemba ameitisha mikesha mara mbili ili awavune sana mazwazwa hela zao, na mwezi huu amejua wengi wameishiwa hela eti anaweka mfungo wa siku 21, ili mjibanebane muendelee kumtolea sadaka š«”salute kwako Mwampz