Mcheza Viduku
JF-Expert Member
- Jun 24, 2020
- 1,111
- 2,754
Huyo kiongozi unaemtetea wala hachafuliwi ila yeye mwenyewe ni mchafuKiongozi wa kiimani ana chafuliwa Kwa kupewa tuhuma ambazo chanzo chake ni mawazo na fikra za mtoa tuhuma.
Tafadhali mods Kwa heshima ya jukwaa hili uzi huu ufutwe . Hizi ni aina ya threads ambazo Zina shusha hadhi ya JF.
,
Moderator
Baada ya kuzulumiana!; yaliyo mvuunguni yatakuja kusemwa juu ya mapaa ya nyumba!Yaani Mwamposa umeona ukisema hizo Nyumba ni zako Utasababisha Waumini wako unaowakamua Kutwa waanze Kukukacha hivyo ukamtafuta Rafiki yako Lugumi kwakuwa Yeye ni Mfanyabishara basi ajifanye ni zake kisha Wewe ucheze Mchezo wa Waandishi wa Habari wajifanye wanakuja Kukuhoji kisha uanze Kumsifia Lugumi na ujifichie katika Kimvuli chake.
Soma Pia:
Na wenye Akili tunajua nyuma ya hizo Nyumba kuna Jambo na nasikia mtazijenga nchi nzima na kuna Mtu mkubwa sana atawasifieni Siku si nyingi kwa hizo Nyumba kisha nae ataweka mzigo ili mpango fulani wa Kuvuna Fedha na kufanya Uwekezaji mkubwa wa Kibiashara wa muda mrefu utimie.
- Lugumi ana roho ya kumcha Mungu: Mtume Mwamposa
- Muda wa kujisafisha: Lugumi kuwajengea maghorofa sita watoto yatima Dar
Siyo kila Mtanzania ana Akili nzito za kutoweza kutambua Jambo kama mlilolifanya.
Takataka.π π π
Walaaaaaaaa
Huyo team Mwamuposa
Kila mtu ana pokea yake humu
Maneno hayo y unapenda kuyatafufa na wakati mwingine nakosea sanaaaaa kisa mtu majibu uzi wako.
Kaava kwenye mada nawe unazoleta πππ
Takataka.Acha kumzushia mtumishi wa Mungu bila ushahidi.
Ndio maana kila siku unapigwa ban.
Hizo ni side effects za kuwazushia watumishi wa Mungu.
Hizo ban unazo pigwa JF zinaweza kuwa reflection of what is going on in your life in the spiritual realm.
Ni viboko vya kiroho hivyo unapigwa
Ndio maana hunaga hela
Takataka.mchezea matope ukiwa unachezea tope
Kuna mahala popote pale Ulilazimishwa uufungue huu Uzi ulioanzishwa nami Baba yako wa Kambo?JF imekua ya hovyo sana, thread za hovyo tu siku hizi kama hii