Yaani Mwamposa umeona ukisema hizo Nyumba ni zako Utasababisha Waumini wako unaowakamua Kutwa waanze Kukukacha hivyo ukamtafuta Rafiki yako Lugumi kwakuwa Yeye ni Mfanyabishara basi ajifanye ni zake kisha Wewe ucheze Mchezo wa Waandishi wa Habari wajifanye wanakuja Kukuhoji kisha uanze Kumsifia Lugumi na ujifichie katika Kimvuli chake.
Soma Pia:
Na wenye Akili tunajua nyuma ya hizo Nyumba kuna Jambo na nasikia mtazijenga nchi nzima na kuna Mtu mkubwa sana atawasifieni Siku si nyingi kwa hizo Nyumba kisha nae ataweka mzigo ili mpango fulani wa Kuvuna Fedha na kufanya Uwekezaji mkubwa wa Kibiashara wa muda mrefu utimie.
Siyo kila Mtanzania ana Akili nzito za kutoweza kutambua Jambo kama mlilolifanya.