Mwamposa ni Mtumishi wa Mungu; je, hii Huduma aliyonayo ya LIPA KWA SIMU ya Tigo Pesa amepewa na anaitumia kama nani?

Alipoenda Moshi, watu walikufa kwa msongamano, "hivi ninyi watu, bado hamjashtuka?" Ni mbinu katika ulimwengu wa roho.
: 6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako. HOSEA 4:6
 
Mambo ya imani hayachunguziki,
Hata mwenye phd uenda kwa mganga asiyesoma.
ndio maana nikasema kuna vitu kwa namna ya kawaida huwezi kuvielewa, ila wewe ambaye upo nje utaona kama ni wajinga, hawajita mbui n.k kuna vitu Mungu na manabii wake walishavitabiri na ni lazima vitatokea hivyo kuna mambo mengine ni ili kusudi la Mungu litimie. Kutokea kwa makristo wa Uongo na manabii wa Uongo hilo haliepukiki
 
Dini ni biashara Kubwa sana ukiachilia sekta ya nishati na madinii.
Inaanza siasa then inafata dini, au vice versa! Hizi kada mbili kwa Tanzania zinaongoza katika kuingizia watu pesa.
 
Lipa kwa Simu kwa mujibu wa Watu wa Makampuni ya Simu na kwa Maagizo ya Serikali ni Maalum tu kwa Wafanyabiashara na siyo Watu Wengine.

Hivyo basi GENTAMYCINE nauliza hii LIPA KWA SIMU ya Tigo Pesa namba 5135393 yenye Jina la Boniface Mwamposa amepewa kama Mtumishi wa Mungu au Mtumishi wa Mungu Mfanyabiashara?

Endeleeni tu Kumlea vibaya na Kumpendelea huyu Mtu ( kwakuwa baadhi yenu anawaombeeni Virusi visinzie Miilini mwenu na Wengine mtuibie vizuri katika Nyadhifa zenu mbalimbali ) huku Wengine kama Yeye ( Mfano Mwingira wa Mwenge ) mkiwanyanyasa ila yana mwisho na mtakuja Kunikumbuka siku moja kuwa Mimi Zanaki and Makuwa Think Tank ( GENTAMYCINE ) ni Muona mbali Niliyebarikiwa na Mwenyezi Mungu.
Sasa ulitaka sadaka zifikaje kwa mtu aliyeko kigoma,lindi,songea,rukwa nk
 
sasa sio kama zamani kila kitu kimerahisishwa sadaka lazima itafutwe kwa jinsi yeyote ile kuna watu wanapesa kwenye simu inawarahisishia kutoa sadaka kirahisi hana haja ya kutoka kwenda kwa Wakala wakati wa ibada
 
kinacho kusumbua ni wivu tu.Biashara nzuri ni kufanya na mtu tajiri yani Mungu maana kila kitu anacho.
 
Lipa kwa Simu kwa mujibu wa Watu wa Makampuni ya Simu na kwa Maagizo ya Serikali ni Maalum tu kwa Wafanyabiashara na siyo Watu Wengine.

Hivyo basi GENTAMYCINE nauliza hii LIPA KWA SIMU ya Tigo Pesa namba 5135393 yenye Jina la Boniface Mwamposa amepewa kama Mtumishi wa Mungu au Mtumishi wa Mungu Mfanyabiashara?

Endeleeni tu Kumlea vibaya na Kumpendelea huyu Mtu ( kwakuwa baadhi yenu anawaombeeni Virusi visinzie Miilini mwenu na Wengine mtuibie vizuri katika Nyadhifa zenu mbalimbali ) huku Wengine kama Yeye ( Mfano Mwingira wa Mwenge ) mkiwanyanyasa ila yana mwisho na mtakuja Kunikumbuka siku moja kuwa Mimi Zanaki and Makuwa Think Tank ( GENTAMYCINE ) ni Muona mbali Niliyebarikiwa na Mwenyezi Mungu.
Ukista ajabu ya Musa utayaona ya Mwaiposa
 
MATHAYO 10:8.

Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.

Watu wavivu wa kusoma Maandiko Matakatifu wakisubiri kutafuniwa kila kitu, pia wengi hupenda mteremko wa maisha kwa njia fupi bila kutoa jasho.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kuna vitu kwa kawaida huwezi kuvielewa Mkuu. Imagine hadi Zumaridi ana wafuasi
Beyonce kacheza uchi miaka 10 akiwa mwanamziki, 2016 alifungua dini yake akijiita mungu na biblia yake feki nchini Marekani na Watu walijaa tele kanisani kwake.

Kama duniani wajinga si wengi basi ni njaa tu ndiyomaana Manabii wa uwongo wanapata Watu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Beyonce kacheza uchi miaka 10 akiwa mwanamziki, 2016 alifungua dini yake akijiita mungu na biblia yake feki nchini Marekani na Watu walijaa tele kanisani kwake.

Kama duniani wajinga si wengi basi ni njaa tu ndiyomaana Manabii wa uwongo wanapata Watu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
sio manabii wa Uongo tu ndio wenye wafuasi hata waganga wana wafuasi, mashoga wana wafuasi, vyama vya siasa vina wafuasi n.k kinachofanyika hapo katika ya hao wafusi kuna kundi wanalonufaika na kuna kundi linalotumiwa.
 
Back
Top Bottom