Mwamposa, ni vyema ukarekebisha baadhi ya vitu ambavyo ni kero kwa waumini wako na jamii kwa ujumla

hili swala la kuwafokea wahudumu ata mimi siipendi, pia kuna mchungaji wake nadhani anaitwa baraka nae ameiga kwa mwamposa kuwafokea wahudumu.

Binadamu mapungufu ni kawaida.

Mungu amtie nguvu awashe taa kila mkoa.
 
Huyo ni mtumishi wa wanadamu au wa Mungu? Mungu pia anagawa kwa mafungu, mwenye nacho huzidishiwa.

Pambana kutafuta riziki, Mungu angekuwepo, tusingeishi kwa mafungu hivi.

Mungu anaruhusu wauza ngada, wapiga rushwa, majambazi, matapeli kupata riziki. Lakini wapiga kazi halali kila siku wanaangukia pua. ndo mungu huyo.

Wanadamu, hakuna mungu duniani wala mbinguni. Pambana kutafuta maisha kwa muda uliobahatika kuishi. Kama mungu angekuwepo wale wanaoeneza ushoga wakitumia mkwanja asingewapa huo mkwanja.

Mungu mungu!! Hayupo, ni dhana tu.
 
Asibadilishe tena afanye ibada kuwa siku mbili (masaa 48)
Na michango aifanye iwe 12 ili awanyooshe!
Kama huna ukauze nyumba umpelekee!
Wajinga ndio waliwao hawatakaa waishe huku duniani hadi kiyama
 
Kama umeyaona yote hayo kinachokufanya uendelee kuwepo ni Nini? Washauri na wenzako wasepe. Sijawahi Mimi kukanyaga pale japo nipo maeneo ya Kawe. Huenda jamaa anachukuwa nyota za watu. Anapata kipato kikubwa sana, sijui Kama TRA wanajua.
 
Mmekosea sana.na mam Ako mzazi hapazwi kuwa msela Kia's Cha mama Ako namshanga sna haendi kanisani Wala hatoi sadaka ,fungu la kumi ,malimbuko,shukrani za pekee yukoyuko tu

Ni hatari San kwa mzazi wa Aina hyo
Wewe nenda .. tuache tulivo. Mbona kiherehere and ao judgemental?
 
Naamini katika uwezo wa Mungu lakini sio kupitia Mwamposa. Namuona ni nabii wa uongo asiyekemea dhambi wala kuwa na fadila yoyote ya kikristo. Kwanini watu bado wanamwamini hata baada ya kuona kuwa ni mpiga sadaka?!
Dhambi ndio maisha yenyewe hazitakaa ziishe ata akikemea .
 
Ameshawateka akili,acha awafanye vile anavyojisikia.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Wale ni Wajasiriainjili kwaajili ya matumbo yao.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Binadam sijui wakoje akili na matumaini vyote unahamishia kwa binadam mwenzako ambaye nae hana lo lote zaidi ya kukujaza hofu tu

Anyway wacha mnyooshwe akili ziwakae sawa
 
Kama ni mtumishi WA kweli WA Mungu maombi Yao huwa yako effective maana Wamewekwa kama makuhani
Na kwambia hivi, HAKUNA Mtumishi wa Mungu, wala Kuhani dunia hii.

Hata awe Askofu, Padri, Mchungaji, Shehe, Mufti, Papa, kardinali, katekista, Monk au nani,

Hawa wote ni Binadamu kama wewe utofauti wao na wewe ni kwamba hawa ni wafanyakazi wa Taasisi za kidini za kibinadamu.
Na Maombi yao ni sawa sawa na ya kwako.

Wake up, Emancipate yourself from mental slavery Religion.
 
Wacha muendelee kupigwa na vitu vizito na hao watumishi wenu mtaelewa tu huko badae!
 
Sijafundishwa kumhukumu mungu pasipo kujiridhisha, afu kwa mambo ya kimungu sinaga masiara kabisa...waga namuachia mungu nashika kile anachokifundisha ambacho hakifundishi sitomjudge na akifundisha nje biblia soul alarm inagongaa
Kiongozi kama uko Makini na mambo ya Rohoni usingekubali kunasa na kuendelea na kulishwa matango pori, ungechukua maamuzi ya kutafuta kanisa lenye nguvu za kweli na neno lisiloghoshiwa, kukaa hapo huku ukisikiliza Saul alarm ni kumchosha Roho wa Mungu pia utakua kiroho ktk speed stahiki maana kama ktk kila ibada yako mambo soul alarm inagongaa, ni shida kuanza kutafuta ukweli. Nakushauri tafakari na chukua maamuzi... Maana sisi wengine umepita huko na kujikuta wafu wa roho, tumepoteza pesa, kazi na amani... Kila la kheri🙏
 
Hapo #3, hii kitu aliniambia mdogo wangu. Alifunga safari kutoka Mkoani mpaka Dar kupata huduma., muda wa sadaka akaanza kuita wenye...elfu50 waje mbele watoe...sijui 40...akashuka mpaka buku buku. Mdogo wangu amerudi yupo very disappointed. KiVyovyote vile, ni kitu kinachoshangaza mtumishi kuombea watu kulingana na kiwango cha sadaka wanachotoa.
 
Love is my religion
 
Hapa sidhan kama ni kweli..anaombea wote kwa ujumla kila mmoja anafunguliwa kivyake kulingana na Imani yake..utoaji wa sadaka ni uwezo wa mtu na kuamua kutoa..hajawahi lazimishwa mtu kutoa asichokuwa nacho jomba..sijawah ona na Mimi ni mfuatiliaji sana wa haya Mambo..sadaka ni uwezo wako jomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…