Mwamposa, ni vyema ukarekebisha baadhi ya vitu ambavyo ni kero kwa waumini wako na jamii kwa ujumla

Mwamposa, ni vyema ukarekebisha baadhi ya vitu ambavyo ni kero kwa waumini wako na jamii kwa ujumla

Mzee umeenda na fantasy zako wewe muache na huduma yake.
Ikibidi anzisha yako kurekebisha unapoona wewe anakosea.
 
Mpaka sasa soko la wapumbavu wa imani tanzania ni kubwa mno.

HAWA MANABII HAWANA MAKOSA, MAKOSA YA WAUMINI FEKI!

MPAKA SASA KENYA, KWENYE MSITU WA SHAKAHOLA:
MAREHEMU WALIOPATIKANA NI 425
WALIOPOTEA/HAWAJAPATIKANA 613.
 
Eti anagawa baraka!? Amekua mungu au?
nakujibu hoja yako kwa swali..jee, ikitokea wewe umetunukiwa zawadi from no where... let say ni mtaji mtu amekupa tu uendeshe biashara zako ukishasimama utamrudishia kidogo kidogo....huo bila shaka ni muujiza ambao mungu kakutendea na utamshukuru mungu!! jee huo mtaji kakupa mungu au huyo jamaa aliekupa huo mtaji. nahitimisha hivii....... Mungu anatoa baraka kupitia watu, usingeweza kuzipokea hizo hela moja kwa moja kutoka mbinguni!
 
Kwanza, Mungu hayupo.

Pili, Hizo sheria unazo dai ziliwekwa na Mungu ni Sheria za wanadamu wachache wajanja walio unda mfumo wa kula hela za Wajinga kwa jina la Sadaka.

Tatu, Vitabu vyote vya kidini ni stori za kusadikika, Fiction stories.
We jamaa wewe, humuogopi ata mungu!? we ni binadamu kweli au ni computer imetype....
 
Na wewe unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Kitu kisicho kuwepo haki hitaji uthibitisho wa kuto kuwepo kwake kwa vile hakipo na hakijulikani.

Ukisema kitu kipo ndio unatakiwa uthibitishe kipoje.
em, kama kweli we ni mwanadamu na uko siriaz na unachosema kuwa mungu hayupo nikupe tafakari fupi sana afu ukiitafakari vyema ukaielewa sawa hutarudia tena kusema hivo, kama hautonielewa basi nakuomba sana usirudie tena kutamka au kuandika chochote kuhusu mungu, ata ukiona post yyte usicomment chochote we pita tu, hilo ni ombi! tafakari......tangu ukiwa tumboni aliyekuwa anasimamia usalama wako ni nan? ni mama yako et? kamuulize mama yako vzr.. akupe hio siri usijifanye mjanja kuliko mama yako huenda ata mimba yako walitaka waitoe na ikagoma na upo hai sasa! ok, may become umejipambania mwenyewe fine! fikiria kupumua kwako muda huu unajua hiyo compressor humo ndani ndani ya mwili wako kafunga Nani!?ok, labda ni mzungu kafunga hyo breathing system! jee umeme wa kuendesha huo mtambo unatoka wapi. ndani ya mwili wako kuna mtambo wa kusindika chakula nan kaufunga mzee baba,? ni mzungu et! kwenye mwili wako kuna pump ya kusukuma damu(moyo) nan anaiendesha hyo pamp mzee, kwenye kichwa chako kuna computer ambayo inafanya kazi kuliko computer yeyote unayoijua wewe apa duniani, kwa siku inahifadhi vitu most of 64gb, kwenye mwili wako Kuna engine ya kukuwezesha kutembea au kukimbia, ok, nambie basi huo mwili wako umetengenezwa kwa material gani! Mwishooooo...... nan kaifunga hyo mitambo yote na inatoa wap umeme au unafikir maharage na ugali unaokula ndio yanatoa umeme kuendesha mitambo yote hyooo?
 
Mzee umeenda na fantasy zako wewe muache na huduma yake.
Ikibidi anzisha yako kurekebisha unapoona wewe anakosea.
Wewe ndo wale watu wasiopenda kukosolewa, ukikosolewa unashika mawe...unajisaidia kichakani tunakuambia afu we unatujibu kunyeni na nyie tusifwatiliane!? jifunze kuskiliza zaidi watu afu fanya kile unachopenda kufanyiwa na wengine na usifanye usichopenda kufanyiwa.
 
Hilo la muda wa Ibada nimekuelewa sana. Baba Mtume Mwamposa alisikilize hili.
Hayo mengine yanatibika Kwa Kila Mtu na Imani yake.
 
em, kama kweli we ni mwanadamu na uko siriaz na unachosema kuwa mungu hayupo nikupe tafakari fupi sana afu ukiitafakari vyema ukaielewa sawa hutarudia tena kusema hivo, kama hautonielewa basi nakuomba sana usirudie tena kutamka au kuandika chochote kuhusu mungu, ata ukiona post yyte usicomment chochote we pita tu, hilo ni ombi! tafakari......tangu ukiwa tumboni aliyekuwa anasimamia usalama wako ni nan? ni mama yako et? kamuulize mama yako vzr.. akupe hio siri usijifanye mjanja kuliko mama yako huenda ata mimba yako walitaka waitoe na ikagoma na upo hai sasa! ok, may become umejipambania mwenyewe fine! fikiria kupumua kwako muda huu unajua hiyo compressor humo ndani ndani ya mwili wako kafunga Nani!?ok, labda ni mzungu kafunga hyo breathing system! jee umeme wa kuendesha huo mtambo unatoka wapi. ndani ya mwili wako kuna mtambo wa kusindika chakula nan kaufunga mzee baba,? ni mzungu et! kwenye mwili wako kuna pump ya kusukuma damu(moyo) nan anaiendesha hyo pamp mzee, kwenye kichwa chako kuna computer ambayo inafanya kazi kuliko computer yeyote unayoijua wewe apa duniani, kwa siku inahifadhi vitu most of 64gb, kwenye mwili wako Kuna engine ya kukuwezesha kutembea au kukimbia, ok, nambie basi huo mwili wako umetengenezwa kwa material gani! Mwishooooo...... nan kaifunga hyo mitambo yote na inatoa wap umeme au unafikir maharage na ugali unaokula ndio yanatoa umeme kuendesha mitambo yote hyooo?
Kama tukiwa tumboni anaye simamia usalama wetu ni Mungu,

Vipi watoto wanao zaliwa wamekufa?

Vipi wanao zaliwa na matatizo ya vichwa vikubwa?

Vipi wanao zaliwa njiti?

Mungu muweza wa yote, Anashindwaje kusimamia usalama wa hawa watoto wasizaliwe na haya matatizo?

Huoni kwamba Mungu hayupo?
 
Kuhusu ili swala ni pevu sana inamaana Tsh 2000,1000,na 500 hizi sio pesa huu ubagazi htr ikifika kipendi hiki nikiona sielewi mfukoni Hadi TV channel nahamisha
 
Kama tukiwa tumboni anaye simamia usalama wetu ni Mungu,

Vipi watoto wanao zaliwa wamekufa?

Vipi wanao zaliwa na matatizo ya vichwa vikubwa?

Vipi wanao zaliwa njiti?

Mungu muweza wa yote, Anashindwaje kusimamia usalama wa hawa watoto wasizaliwe na haya matatizo?

Huoni kwamba Mungu hayupo?
Wewe ulizaliwa na kasoro gan mzee, huenda nmekutana na mlemavu pasipo kujua,
 
Wewe ulizaliwa na kasoro gan mzee, huenda nmekutana na mlemavu pasipo kujua,
Mimi au wewe kutokuzaliwa na kasoro au walemavu, Haimaanishi kwamba dunia nzima Hakuna watoto wasio zaliwa na kasoro au ulemavu, watoto wanao zaliwa na kasoro wapo na walemavu wapo pia.

Sasa naku uliza hivi [emoji116]

Kama ulivyo sema mwanzo kwamba Mungu husimamia usalama wa watoto kabla ya kuzaliwa kwao na pindi wawapo tumboni kwa mama zao,

Vipi watoto wanao zaliwa na matatizo ya vichwa vikubwa?

Vipi watoto wanao zaliwa njiti?

Vipi watoto wanao kufa wakiwa tumboni kwa mama zao kabla ya kuzaliwa?

Huyo Mungu anaye simamia usalama wa watoto kabla ya kuzaliwa yupo kweli?
 
Back
Top Bottom