Mwamposa: Nimemfahamu Paul Makonda tangu akiwa Chuoni, ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu na atafika mbali!

Mwamposa: Nimemfahamu Paul Makonda tangu akiwa Chuoni, ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu na atafika mbali!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu

Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi

Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana

Source Clouds media
 
Well basi awe makini, history shows kuna bad blood between politics na huduma. At one time itabidi afanye maamuzi na kuamua which side he wants, else itayeyuka
Yaah sure man, acha tusubiri.

Mwanzo hakua mtu wa media wala kugusia siasa kabisa. Nowadays naona mzee ni kama ajenga za wanasiasa zinamkaa na anafanya media tour au media zimeanza kimzonga baada ya kuona anainglika.
 
Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu

Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi

Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana

Source Clouds media
Mtumishi jiepushe na huyu mtu, ana uja damu! Kama watumishi wa Mungu alitakiwa mnieleze maovu yake? Kuna wazazi hadi leo wanalia kwa kupotelewa na watoto wao!
 
Back
Top Bottom