ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Na Nape ameshamwaga mchele kwenye Kuku wengi 😳🙌Kama alipo sasa bado si mbali, basi tujiandae kumpokea kama rais ajaye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Nape ameshamwaga mchele kwenye Kuku wengi 😳🙌Kama alipo sasa bado si mbali, basi tujiandae kumpokea kama rais ajaye.
c.c to Mwampossa 😂😂🤠Uuaji kumbe ni kipaji ?
Fedha fedheha walisemaga wahenga!Nimemdharau sana Mwamposa. Kumbe naye ni tapeli kama Pengo tu
Acha hizo 🐼c.c to Mwampossa 😂😂🤠
Haya 😄😄
AiseeNimekumbuka Chatu alommeza Ben saa nane
Britanicca
sasa hivi mgau mkubwa na hata kampeni hazijaanzaMwamposa anatufanya sisi kuwa wajinga. Unyama huu ndiyo Mwamposa anauita kipaji cha uongozi?
Matapeli yanajuana. Yote ni matapeli, moja limejificha kwenye kichaka cha siasa na jingine kwenye kichaka cha dini. Kuna siku Mungu atawambua.Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu
Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi
Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana
Source Clouds media