Mwamposa: Nimemfahamu Paul Makonda tangu akiwa Chuoni, ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu na atafika mbali!

Mwamposa: Nimemfahamu Paul Makonda tangu akiwa Chuoni, ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu na atafika mbali!

Haya majina ya akina Mwamposa ni chenga sana refer yule wa Kwa Bunji
 
Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu

Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi

Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana

Source Clouds media
Matapeli yanajuana. Yote ni matapeli, moja limejificha kwenye kichaka cha siasa na jingine kwenye kichaka cha dini. Kuna siku Mungu atawambua.
 
Nyakati zile Makonda haonekani alijichimbia wapi? Labda huenda Mwamposa unajua alikuwa wapi. Au alikuwa anapikwa kisiasa?
 
Hii nchi vituko na uhuni haviishi laah
 
Back
Top Bottom