johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Aisee!Nimekumbuka Chatu alommeza Ben saa nane
Britanicca
Akikaa vibaya wataua hiyo hudumaMwamposa anajiingiza mzima mzima kwenye siasa au anaingizwa kijanja??
Bila shaka hamna wa kumgusa huyo mwamba kwa sasa.
Ana watu wengi lazima wamtumie, na kwenye uchaguzi watamtumia sana huyuAkikaa vibaya wataua hiyo huduma
Mwamposa anatufanya sisi kuwa wajinga. Unyama huu ndiyo Mwamposa anauita kipaji cha uongozi?Nimekumbuka Chatu alommeza Ben saa nane
Britanicca
Huyu tapeli si kila sehemu yuko? Anajua asifie wapi ili azidi kupiga wajinga fedha ya sadaka.Mwamposa anajiingiza mzima mzima kwenye siasa au anaingizwa kijanja??
Bila shaka hamna wa kumgusa huyo mwamba kwa sasa.
Well basi awe makini, history shows kuna bad blood between politics na huduma. At one time itabidi afanye maamuzi na kuamua which side he wants, else itayeyukaAna watu wengi lazima wamtumie, na kwenye uchaguzi watamtumia sana huyu
Yaah sure man, acha tusubiri.Well basi awe makini, history shows kuna bad blood between politics na huduma. At one time itabidi afanye maamuzi na kuamua which side he wants, else itayeyuka
Kule alipokuwa anakula Maharage sana akapata F moshi ndani hukoChuoni wapi huko?
Mtumishi jiepushe na huyu mtu, ana uja damu! Kama watumishi wa Mungu alitakiwa mnieleze maovu yake? Kuna wazazi hadi leo wanalia kwa kupotelewa na watoto wao!Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu
Mtume Mwamposa amesema RC Makonda ana kipawa kilichowekwa Ndani yake na Mungu mwenyewe hivyo atafika mbali sana kiuongozi
Hata hapa Arusha mh Paul Makonda ameletwa kwa Mpango wa Mungu na atauvusha huu mkoa katika mambo mengi sana
Source Clouds media