Pre GE2025 Mwamposa, NSSF na Leopard Tour watoa pikipiki 60 kwa Jeshi la Polisi kuimarisha ulinzi Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mdogo mdogo tuna swore allegiance na Bashite ili akiukwaa tusisumbuliwe kwenye mambo yetu!

===

Screenshot_20241218_151708_Instagram.jpg

Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise and shine (Inuka Uangaze),Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF pamoja na Mfanyabiashara na Mmiliki wa Kampuni ya Utalii ya Leopard Tour wametoa Pikipiki 60 kwa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha ili kuendeleza jitihada za Kuimarisha Ulinzi na usalama na kuchochea ukuaji wa Utalii Mkoani Arusha.

Screenshot_20241218_151722_Instagram.jpg

Pikipiki hizo 20 kutoka kwa Mtume Mwamposa, 20 kutoka NSSF na 20 kutoka kwa Leopard Tour zimetolewa na kukabidhiwa leo kwa Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Christian Makonda, ambapo Mtume Boniface Mwamposa ameahidi kuendelea kujitoa kwa Wananchi wa mkoa wa Arusha kama sehemu ya kuchangia kwenye maendeleo ya Mkoa huo wa Kaskazini mwa Tanzania ulio kitovu cha Utalii wa Tanzania.

Screenshot_20241218_151744_Instagram.jpg

Kwa Upande wake Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Justine Masejo wameshukuru kwa msaada huo, Huku RPC Masejo akiahidi kuzitumia kikamilifu pikipiki hizo katika kuhakikisha ulinzi na usalama wa Mkoa wa Arusha unaimarika na kuwa kivutio kwa wenyeji na wageni wa Mkoa wa Arusha wanaofika kwaajili ya shughuli mbalimbali za mikutano, biashara na Utalii.

Arusha zone
 
Vjna wenyew wa Arusha wanatumia SNORAY ak sinaroho ina spd 200 sasa hapo police sidhan kunadereva wakufukuza nao hapo barabaran
 
Wakuu,

Mdogo mdogo tuna swore allegiance na Bashite ili akiukwaa tusisumbuliwe kwenye mambo yetu!

===

Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise and shine (Inuka Uangaze),Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF pamoja na Mfanyabiashara na Mmiliki wa Kampuni ya Utalii ya Leopard Tour wametoa Pikipiki 60 kwa Jeshi la Polisi Mkoani Arusha ili kuendeleza jitihada za Kuimarisha Ulinzi na usalama na kuchochea ukuaji wa Utalii Mkoani Arusha.

Pikipiki hizo 20 kutoka kwa Mtume Mwamposa, 20 kutoka NSSF na 20 kutoka kwa Leopard Tour zimetolewa na kukabidhiwa leo kwa Mkuu wa Mkoa Mhe. Paul Christian Makonda, ambapo Mtume Boniface Mwamposa ameahidi kuendelea kujitoa kwa Wananchi wa mkoa wa Arusha kama sehemu ya kuchangia kwenye maendeleo ya Mkoa huo wa Kaskazini mwa Tanzania ulio kitovu cha Utalii wa Tanzania.

Kwa Upande wake Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Kamanda wa Polisi mkoani Arusha Justine Masejo wameshukuru kwa msaada huo, Huku RPC Masejo akiahidi kuzitumia kikamilifu pikipiki hizo katika kuhakikisha ulinzi na usalama wa Mkoa wa Arusha unaimarika na kuwa kivutio kwa wenyeji na wageni wa Mkoa wa Arusha wanaofika kwaajili ya shughuli mbalimbali za mikutano, biashara na Utalii.

Arusha zone

Rushwa Rushwa Rushwa
Aibu na hatari kwa serikali jeshi kuhudumiwa na watu binafsi
Mwenda zake alipiga marufuka wakati Makonda alipoanzisha tabia hiyo hapa Dar.
 
Back
Top Bottom