Nilimsikia mtumishi Mwamposa akisema kuwa kutakuwa na siku ya kuombea viongozi wa serikali.
Nikamshangaa ni kwa nini waombewe viongozi wakati wale wote waliotekwa na hiyo mamlaka hawajulikani walipo na hali zao miaka na miaka.
Huu ni unafiki wa kiwango cha lami na kujipendekeza kwa mamlaka bila sababu ya msingi. Angekuwa ametekwa mwanae angemuombea au angeombea waliomteka?
Ole wake siku nikisikia kiongozi wa imani yangu analeta maombi ya kuiombea dola/mamlaka nitatoka nje nikawaombee wote waliotekwa.