Yaani Picha uliyopiga miaka Mitano iliyopita na Rais Mteule wa Kenya William Ruto ndiyo leo hii baada ya Kuona ametangazwa mshindi ndiyo unaiposti Mitandaoni huku Ukidanganya kuwa ulienda Kumuombea la kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Kenya na kwamba ulimuahidi kuwa angeshinda?
Sasa kama ulikuwa una uhakika na unajiamini kuwa Rais Mteule Ruto angeshinda Urais mbona hukusema mapema ili tukuamini na badala yake umengojea hadi ameshinda ndiyo sasa Unajisifu kuwa ni kwa ajili yako?
Na najua kwa hili utawakamata wengi sana kwa Kukuamini na utakuwa Unajisifia Kutwa kuwa huduma yako ya Arise and Shine ndiyo imemuombea Rais Mteule Ruto na kumpa huyo Ushindi wake ambao ili ukamilike unasubiria Maamuzi ya Supreme Court ya nchini Kenya.