Mwamposa, Picha uliyopiga miaka Mitano iliyopita na William Ruto ndiyo unaposti leo hii baada ya Kuona ametangazwa mshindi?

Mwamposa, Picha uliyopiga miaka Mitano iliyopita na William Ruto ndiyo unaposti leo hii baada ya Kuona ametangazwa mshindi?

Haya ndio yale ya tapeli TB. Joshua
Akala pesa za Magufuli, akala na pesa za Lowasa.
Siku Magufuli katangazwa akajifanya kurusha picha alizokuwa amepiga naye
 
Siku hizi kila mtumishi anataka kuonesha ni supernatural flani hivi. Yesu anatumika kama chambo tu lakini ni watu wanajikweza .
 
Back
Top Bottom