favourismyname JF-Expert Member Joined Jul 17, 2022 Posts 403 Reaction score 361 Aug 22, 2022 #21 Watu mna shida Yaani mtu ashindwe kupost picha ,kisa ? Mna nongwa aiseee
favourismyname JF-Expert Member Joined Jul 17, 2022 Posts 403 Reaction score 361 Aug 22, 2022 #22 mwayena said: Maisha ya mtu, kaamua mwenyewe kufanya alichofanya, wewe inakuuma nini? pole sana Click to expand... Nashangaaa
mwayena said: Maisha ya mtu, kaamua mwenyewe kufanya alichofanya, wewe inakuuma nini? pole sana Click to expand... Nashangaaa
Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,322 Reaction score 18,609 Aug 22, 2022 #23 Kwa picha hio atauza Sana maji na mafuta
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 Aug 22, 2022 #24 Haya ndio yale ya tapeli TB. Joshua Akala pesa za Magufuli, akala na pesa za Lowasa. Siku Magufuli katangazwa akajifanya kurusha picha alizokuwa amepiga naye
Haya ndio yale ya tapeli TB. Joshua Akala pesa za Magufuli, akala na pesa za Lowasa. Siku Magufuli katangazwa akajifanya kurusha picha alizokuwa amepiga naye
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Aug 22, 2022 #25 Uzi huu bila picha sw na takataka
Marashi JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 2,877 Reaction score 4,522 Aug 22, 2022 #26 Bwana wa mavuno ya kitapeli
MTAZAMO JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 19,675 Reaction score 33,583 Aug 24, 2022 #27 Siku hizi kila mtumishi anataka kuonesha ni supernatural flani hivi. Yesu anatumika kama chambo tu lakini ni watu wanajikweza .
Siku hizi kila mtumishi anataka kuonesha ni supernatural flani hivi. Yesu anatumika kama chambo tu lakini ni watu wanajikweza .