MWAMPOSA: Unforgettable overnight tutumalizana na HIV, Nuksi, Mikosi, Mabalaa, Siasa na kama kila unachokifanya hakifanikiwi Kawe inakuhusu

Mie nataka kujua tuu...je anaweza kukiomnea kibamia changu kigeuke kiwa de liboloz? Nateseka sana na hiki kibamia changu
 
Mie nataka kujua tuu...je anaweza kukiomnea kibamia changu kigeuke kiwa de liboloz? Nateseka sana na hiki kibamia changu
Hakuna kitu kinashindikana kwa Mungu mkuu njoo tukeshe
 
Sisi wenye HIV tutapona kweli???Msituletee hadithi za kikombe cha babu wa loliondo.... Kipindi kile niliiacha ARVs kwa ajili ya kikombe cha babu,almanusra nikate kamba!
 
Kuweni na huruma na Watanzania wenzenu!
 
Kuna upuuzi mwingine lazima uwe kichaa ndio uweze kuufanya. Kwamba nataka kwenda nje ya nchi nikipeleka jina napewa nauli na kila kitu au ni vipi??
 
Kuna upuuzi mwingine lazima uwe kichaa ndio uweze kuufanya. Kwamba nataka kwenda nje ya nchi nikipeleka jina napewa nauli na kila kitu au ni vipi??
Unapewa nauli na nani?
 
Hapo kuna kondoo zinaamini kuna miujiza itatokea, kweli mjini shule
 
I challenge Mwamposa etc to visit Ocean Road hospital and treat patients with his so called ' powers'..
 
Ukoo wa mwamposa na majirani zao hakuna wagonjwa wala masikini woooote kawaombea wakapona na kuwa matajiri kisha akaombea kijiji chao,kata yao,wilaya yao na mkoa wao wa mbeya hakuna masikini na wagonjwa tena huo ndiyo ushuhuda.

Sasa analiombea taifa wagonjwa wote watapona na hospitali zooote zitafungwa na masikini wote watafanikiwa,uchumi wa nchi utapaaa kwa jina la yesu.

Kukukumamamakekeke wajinga ndiyo waliwao
 
Nitakuwepo
 
Nitakuwepo Mimi na familia yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…